Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Nguzo kuu ya Masikini ni Uchawi na MatusiUnawashwa na ******?
Nguzo kuu ya Masikini ni Uchawi na MatusiUnawashwa na ******?
😂 😂 😂 😂 usije kusababisha akamimina chozi la hasira bureee!!!Lucas Mwashambwa imekula kwako kaka hamna posho saivi.
😂😂😂😂😂View attachment 3418452
Luka anachanja zage mbuga kuitafuta Tukuyu🤣🤣🤣🤣
Tlaahtlaah Yuko ndani ya SGR anakuja!Lucas Mwashambwa imekula kwako kaka hamna posho saivi.
akawii kububujikwa😂 😂 😂 😂 usije kusababisha akamimina chozi la hasira bureee!!!
Na posho hazitoki ng'o!Samia hatoki ng'o!
mpaka abubujikwe na machozi ya huruma na uchungu.Mchangien nauli jmn, alikuwa na ya kwenda tu 😂😂😂
Huyu ni kidampa tu anayesaidia kubeba mabegi na kufuta viatu vya watu hana lolote la maana huko kwenye hicho chama.Lucas Mwashambwa imekula kwako kaka hamna posho saivi.
Ni mtu mkubwa huyo kaka.. Ni mwenyekiti wa CCM kata.. Ni mjumbe kwa sasa na pia nasikia alishinda udiwani wa viti maalum katika mchakato wa ndani.Huyu ni kidampa tu anayesaidia kubeba mabegi na kufuta viatu vya watu hana lolote la maana huko kwenye hicho chama.
Mkuu umekuwaje siku hizi lakiniHahaha, bado hawaamini
Ndio kawadanganya hivyo?Ni mtu mkubwa huyo kaka.. Ni mwenyekiti wa CCM kata.. Ni mjumbe kwa sasa na pia nasikia alishinda udiwani wa viti maalum katika mchakato wa ndani.
Acha wapige hata NBC Marathon🤣🤣🤣Kuna wale Wajumbe wa Mkutanao Mkuu wa CCM waliotangulia Dodoma kula bata eti wakisubiri Mkutano Mkuu.
Warudi makwao tu. Wasitegemee kupata Posho ya safari wala Per diem. Imekula kwenu.🤣🤣🤣
CCM inajitesa yenyewe,uchaguzi ulikuwa ule wa Mbowe Vs Lissu,kitu live bila chenga,huu uchaguzi wa Idd Amini Mama ni ujinga tu,anachamba na kujinusa mwenyeweCCM mwaka huu ITAWATESA SANA.
Kanda ya Ziwa wamegoma kufanya mkutano kwa simu.Samia hatoki ng'o!
Watafutwa uanachama wote!Kanda ya Ziwa wamegoma kufanya mkutano kwa simu.
Ndio taarifa zake zinavyojulikana hivyo.Ndio kawadanganya hivyo?
Hii imewauma sanaLucas Mwashambwa imekula kwako kaka hamna posho saivi.