GE2025 CCM mliotangulia Dodoma Rudini Makwenu, Hakuna Posho ya safari wala Per diem🤣🤣

GE2025 CCM mliotangulia Dodoma Rudini Makwenu, Hakuna Posho ya safari wala Per diem🤣🤣

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu ni kidampa tu anayesaidia kubeba mabegi na kufuta viatu vya watu hana lolote la maana huko kwenye hicho chama.
Ni mtu mkubwa huyo kaka.. Ni mwenyekiti wa CCM kata.. Ni mjumbe kwa sasa na pia nasikia alishinda udiwani wa viti maalum katika mchakato wa ndani.
 
Kuna wale Wajumbe wa Mkutanao Mkuu wa CCM waliotangulia Dodoma kula bata eti wakisubiri Mkutano Mkuu.

Warudi makwao tu. Wasitegemee kupata Posho ya safari wala Per diem. Imekula kwenu.🤣🤣🤣
Acha wapige hata NBC Marathon🤣🤣🤣
 
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Back
Top Bottom