CCM mlizoea kufanya siasa za Michongo na CHADEMA ili wawalegezee na kuendekeza usanii. Wamekaza kiduchu tu mmesikia machungu

CCM mlizoea kufanya siasa za Michongo na CHADEMA ili wawalegezee na kuendekeza usanii. Wamekaza kiduchu tu mmesikia machungu

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Naona mwenyekiti wenu analalama kuwa haheshimiwi.

Haheshimiwi vipi?

Mlitaka wapinzani wakae kimya wakati wanaona kuna madudu?

Mkataba wa bandari na usimamizi mbovu wa rasilimali za taifa zinawacost.

Ukweli ni kuwa wamepata pa kuwashika.

20230912_094942.jpg
 
Nafikiri ipo haja CCM watoe mwongozo kuhusu kukosoa kwa staha ni kwa namna gani, maana bila hivyo hatutapata mwafaka wa neno staha, watuandikie maneno ya kumkosoa Rais ili tuyakariri tuwe tunayatumia hayo tu.
 
Back
Top Bottom