Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Bila kupepesa macho Makamba amefeli kila idara, huku kwenye nishati nchi nzima leo haina umeme. Yeye ndiye aliyesema kwamba kwenye mradi wa bwawa la Nyerere uzalishaji ukianza umeme usishuke bei.
Huyu Kamshange, badala ya kuwekwa benchi anahamishwa wizara? Nini nafasi ya vijana wetu wasomi? Nyie na uzao wenu ndio mmehodhi nchi?
Yanayotokea Africa ya Magharibi ni matokeo ya kuuchoka mfumo huu dhalimu.