Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Kwani huyo unaemuita taahira ndio anatengeneza business plan ya biashara?Bila kupepesa macho Makamba amefeli kila idara, huku kwenye รฑshati nchi nzima leo haina umeme.
Yeye ndiye aliyesema kwamba kwenye mradi wa bwawa la Nyerere uzalishaji ukianza umeme usishuke bei...
Reduce & RecoverR - recycle
R - reuse
R -
R -
Vichwa vipo, tatizo SSH analazimika kuwakumbatia baadhi ya watu.
Ikifutwa itarudi tena kivinginehii inafutwa
Naona wamerekebisha headingIkifutwa itarudi tena kivingine
Ukimuona Makamba umeomuona JK na RostamBila kupepesa macho Makamba amefeli kila idara, huku kwenye nishati nchi nzima leo haina umeme. Yeye ndiye aliyesema kwamba kwenye mradi wa bwawa la Nyerere uzalishaji ukianza umeme usishuke bei.
Huyu Kamshange, badala ya kuwekwa benchi anahamishwa wizara? Nini nafasi ya vijana wetu wasomi? Nyie na uzao wenu ndio mmehodhi nchi?
Yanayotokea Africa ya Magharibi ni matokeo ya kuuchoka mfumo huu dhalimu.
Huyu siyo wa kumjadili, akili hana.Brother Makamba, hebu wape nafasi wakujadili. Tulia sikiliza
Labda awe rais wa mawe kama yule mwenzake hapo kwenye kibubuHuyu siyo wa kumjadili, akili hana.
Magufuli alitowa ahadi hadharani kwa Watanzania bwawa la Nyerere likikamilika umeme lazima ushuke bei.
Sasa yeye January na tepeli mwenzake Maharage Chande wanatuageuzia kibao bei haitoshuka unadhani kuna Mtanzania gani atawachekea mafedhuli kama hawa? halafu kituko zaidi eti January naye anaweza kuja kuwa Rais! Kweli Ccm wanatudharau sana Watanzania.
Tatizo mama atapata wapi hao mawaziri? Babu Take, Kibajaji, Deo Sanga na Msukuma?Yule Pindi Chana kila anapowekwa anapwaya, bibi anadhani kumuhamisha wizara kunaweza msaidia. Hawa mawaziri mizigo late JPM aliwatupilia mbali.
Yule ni kilaza mno,na kuna mwingine huyo Angela ni jipu.Yule Pindi Chana kila anapowekwa anapwaya, bibi anadhani kumuhamisha wizara kunaweza msaidia. Hawa mawaziri mizigo late JPM aliwatupilia mbali.
Mama abdul hana plan B yupoyupo tuBila kupepesa macho Makamba amefeli kila idara, huku kwenye nishati nchi nzima leo haina umeme. Yeye ndiye aliyesema kwamba kwenye mradi wa bwawa la Nyerere uzalishaji ukianza umeme usishuke bei.
Huyu Kamshange, badala ya kuwekwa benchi anahamishwa wizara? Nini nafasi ya vijana wetu wasomi? Nyie na uzao wenu ndio mmehodhi nchi?
Yanayotokea Africa ya Magharibi ni matokeo ya kuuchoka mfumo huu dhalimu.
Tumlaum kbwengo mkuu kwa kweli ndo chanzoBila kupepesa macho Makamba amefeli kila idara, huku kwenye nishati nchi nzima leo haina umeme. Yeye ndiye aliyesema kwamba kwenye mradi wa bwawa la Nyerere uzalishaji ukianza umeme usishuke bei.
Huyu Kamshange, badala ya kuwekwa benchi anahamishwa wizara? Nini nafasi ya vijana wetu wasomi? Nyie na uzao wenu ndio mmehodhi nchi?
Yanayotokea Africa ya Magharibi ni matokeo ya kuuchoka mfumo huu dhalimu.
Recondition ??R - recycle
R - reuse
R -
R -
Vichwa vipo, tatizo SSH analazimika kuwakumbatia baadhi ya watu.
Wewe ni Makamba?.Kwani huyo unaemuita taahira ndio anatengeneza business plan ya biashara?
Yaani umeme ushuke kisa bwawa? Kwani shida ni kutokuwa na umeme au bei ya umeme haiendani na gharama za uzalishaji?
Hizi mentality za Bure Bure ndio zinafanya hii Nchi iwe na watu ambao mda wote ni kulalamika