CCM mmekosa watu wenye sifa za kuwateua kuwa Mawaziri hadi mrudie walioshindwa?

Ndio wanaosaidia ccm ishinde hata kama haijapata kura.

We usiwachukulie poa hao.
 
Mwanamke hafai kupewa uongozi wo wote ule!

Chama nacho kila analopanga mwenyekiti sijui hawaruhusiwi kupinga au kumshauri?

Magufuli katemana nao mama kawarudisha sasa kabaki kuhamisha mawaziri na teuzi zisizo koma
 
WATAWATOA WAPI? MAGUFULI MPAKA ALIAMUA ANUNUE WAPINZANI
 
WATAWATOA WAPI? MAGUFULI MPAKA ALIAMUA ANUNUE WAPINZANI
Kwasababu yeye binafsi alikuwa mdogo na mdhaifu spiritually na once ukiwa mdogo ndani, utu wako wa nje utafanya ukatili sana ili kujitutumua
 
Kwasababu yeye binafsi alikuwa mdogo na mdhaifu spiritually na once ukiwa mdogo ndani, utu wako wa nje utafanya ukatili sana ili kujitutumua
Hili wengi hawalijui. Hata katika maisha ya kawaida iko hivyo, na ni hatari sana watu wa aina hiyo kuchukua uongozi
 
Hili wengi hawalijui. Hata katika maisha ya kawaida iko hivyo, na ni hatari sana watu wa aina hiyo kuchukua uongozi
Hamna vetting ya viongozi bongo, mwenye mganga mkali ndiye anayeibuka madarakani
 
Kama ulitabiri vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…