CCM mmeteua au mmepinduana?

CCM mmeteua au mmepinduana?

1636424798128.png
 
Inaonekana huo ndio mtindo wanaokwenda nao wakubwa wa chama (na serikali pia) mara tu wapatapo madaraka ili waweze kufanya kazi na watu walio loyal kwao

Hata Mwendazake aliposhika hatamu za uongozi wa chama alifanya fagiafagia na kuweka watu wake.
 
Wakawanunulie tu viti 19 wale wa Walimu wa Kibaha wanaogombea viti...... Kama walimu hawana viti, wanafunzi ndio watakua na madawati kweli?
 
Mpaka Sasa Hivi Wenyewe Kwa Wenyewe
Hii Ndiyo Inaitwa Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
 
Back
Top Bottom