Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,800
- 4,859
Ni dhahri matokeo ya Taifa kuongozwa na na viongozi wasio na elimu yenye viwango kusukuma maendeleo yameshakuwa wazi katika Taifa.
Elimu humpa binadamu confidence inayomfanya kupambana na mazingira yake . Taifa letu chini ya CCM limepoteza focus kiasi kwamba Elimu si kipaumbele tena kuyakabiri mazingira. Naamini sababu hii hii ndo imezalisha utamaduni wa hovyo wa kujipendekeza kwa ama uchawa. Si tu uchawa unaathiri wasiokuwa na Elimu bali hadi wenye elimu mpaka ya udaktari wametumbukia kwenye tabia ya uchawa na kujipendekeza kwani ndo silaha pekee iliyobaki ya kumfanya mtu apate ugali na watoto wakimbie msalani.
Taifa limepoteza figure zinazoweza kutoka mbele kwa jeuri na ku address mambo huku back up yao ikiwa ni Elimu.
CCM mwaasisi wa chama chenu alikuwa champion wa kiwajenga vijana walioweza kujidai kutokana na Elimu zao. Ni dhahri kwa sasa elimu ni kama haizai matunda tofauti katika jamii kwa matarajio ya watu.
Utamaduni wa kufanya mawindo kuwateka watu wenye mawazo huru na kudhani ni utatatibu bora kunatupeleka shimoni kama Taifa. Mmezalisha chuki katika jamii isiyo na ulazima wowote. Utamaduni mmbovu kuwahi kutokea duniani.
Bunge limepoteza maana . Hapo zamani wabunge pamoja kuwa hawakuwa na pesa kama mnazoogelea nazo kwa sasa walikuwa wanaheshimika kama watu special sasa tabia ya kujipendekeza na uchawa imewafanya mnaanza kulijaza watu wenye elimu ya vidudu ndio wachallenge mikataba kama ya bandari , wajadiri masilahi ya mikataba kama carbon credit nk. Reaction yenu ya hivi karibuni imetufunulia mengi ni aina gani ua wabunge mnaotupatia kulikwamua Taifa letu . Swali langu kwenu CCM huyo mbunge aliyesoma secondary school kwa miaka 18 na wenzake mmewapeleka ndo wachakate maendeleo ya Taifa letu? Hata kama si kwetu watanzania mnayo kesi ya kujibu mbele ya Muumba wa Dunia na vyote vilivyomo. Kazi yetu ni kumuomba Mungu na naamini kashaanza kutujibu.
Ni mawazo yangu huru .