Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,800
- 4,859
Dah!
Chawa wa Taifa mnamjua na pesa chafu so unalipaHuyu Mbunge , Tauhida Nyimbo, hizo sekondary alizisoma zote vipi?
Huyu ni mbunge kutoka wapi, Tanganyika au Zanzibar?
CCM, chama cha "huyu ni mwenzetu" imetufikisha pabaya sana kama nchi.
Ndiyo maana "uchawa" imekuwa biashara inayolipa sana siku hizi.