Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,898
- 40,547
Baada ya Mauaji ya Oct 29-31, 2025 CCM na serikali yake wametuma Vijana mitandaoni na viongozi wengine wanatoa matamko kuonyesha kuwa wao wameumizwa zaidi na kuharibiwa Mali za serikali na bàadhi ya Mali za watu binafsi walionasibishwa na CCM zaidi ya walivyoumizwa na vifo vya Watanzania waliokuwa kwenye maandamano na wasiokuwa kwenye maandamano waliouawa Majumbani au kwenye biashara zào au hata njiani wakiwa wanarejea majumbani.
Hali hii inakifanya Chama hiki na viongozi wake waonekane wanyama na waliokosa Utu.
Vyovyote iwavyo baada ya maandamano kuzuiwa Kwa nguvu uharibifu Kwa Mali za umma ulikuwa haukwepeki. Hii ni kawaida Duniani kote wala haishangazi. Tumeona jana tu pale Zambia wakati wananchi Wenye jaziba walipompopoa mawe Rais wao Hichilema, gari la Polisi na tent vilichomwa Moto na bàadhi ya maduka ya maswaiba wa Watawala yalivunjwa.
Kwenye maandamano kama Hakuna ulinzi Wahalifu pia wanajichanganya na kuiba lakini waandamanaji pia wanaweza kupandwa hasira hasa wanapozuiwa kuendelea na maandamano Kwa nguvu.
Mpaka Leo Hakuna statement ya Chama au kiongozi yeyote aliyeonyesha utu Kwa wafiwa zaidi ya Mkuu wa mkoa wa Niombe ambaye bàadhi ya wanaCCM wanamshambulia mitandaoni wakimtuhumu kuhurumia "Wahalifu".
Endeleeni na mtazamo huu lakini mtavuna mabua.