CCM mnataka maridhiano ya nini? Kuna kipi kibaya mlifanya?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
CCM watuambie makosa waliyofanya..

Sioni sababu ya wao kupiga magoti kuomba maridhiano bila kusema walipokosea..

CCM watuambie nini walifanya, sio kushinikiza maridhiano. Unataka kuridhiana na nani?

29.10.2025 tutaikumbuka Daima..
 
maridhiano ni tendo la hiyari, na sio lazima muwe mmekosana.

au wewe na huyo mchumba wako mlikosana kwanza ndipo mkafanya maridhiano na sasa mko pamoja?

mathalani mnaweza kuridhiana kuunda kampuni ya familia au kiwanda, mnaweza kuridhiana kufanya biashara pamoja na rafiki zako n.k.

kwani hapo kuna kukosana gentleman?🐒
 
Unaongelea makubaliano. Maridhiano lazima kuwe na pande zinazotofautiana yaweza kuwa kimtazamo, kifikra, kiumani, kimatendo au hata kijamii.
 
CCM watuambie makosa waliyofanya..

Sioni sababu ya wao kupiga magoti kuomba maridhiano bila kusema walipokosea..

CCM watuambie nini walifanya, sio kushinikiza maridhiano. Unataka kuridhiana na nani?

29.10.2025 tutaikumbuka Daima..
😂 😂 😂
 
Wawataje walioua watanganyika ile Oct 29, 2025 kwanza na kuwafunga wote ndiyo waombe msamaha
 
maridhiano ni tendo la hiyari, na sio lazima muwe mmekosana.

au wewe na huyo mchumba wako mlikosana kwanza ndipo mkafanya maridhiano na sasa mko pamoja?

mathalani mnaweza kuridhiana kuunda kampuni ya familia au kiwanda, mnaweza kuridhiana kufanya biashara pamoja na rafiki zako n.k.

kwani hapo kuna kukosana gentleman?🐒
Nani anataka kuunda kampuni na shetani?
 
CCM watuambie makosa waliyofanya..

Sioni sababu ya wao kupiga magoti kuomba maridhiano bila kusema walipokosea..

CCM watuambie nini walifanya, sio kushinikiza maridhiano. Unataka kuridhiana na nani?

29.10.2025 tutaikumbuka Daima..
Uchaguzi ulikuwa huru na haki na wakashinda kwa 98 wanajiliza na kutaka maridhiano na waliopata 2%, maajabu haya yanapatikana Tanganyika tu.
 
maridhiano ni tendo la hiyari, na sio lazima muwe mmekosana.

au wewe na huyo mchumba wako mlikosana kwanza ndipo mkafanya maridhiano na sasa mko pamoja?

mathalani mnaweza kuridhiana kuunda kampuni ya familia au kiwanda, mnaweza kuridhiana kufanya biashara pamoja na rafiki zako n.k.

kwani hapo kuna kukosana gentleman?🐒
Ulipata kidato cha nne division ngapi kwanza
 
Nasikia mama yenu kiti hakikaliki ni mwendo wa kujamba jamba tu.Watu aliowaua damu zao zinamtesa
 
Back
Top Bottom