CCM mnataka maridhiano ya nini? Kuna kipi kibaya mlifanya?

CCM mnataka maridhiano ya nini? Kuna kipi kibaya mlifanya?

Ukiwauliza mlifanya makosa? Wanakataa wanasema waliouliwa walistahili
Aaghh sasa mnaridhiana nini?
 
Kama hakuna aliyedhulumiwa, hakuna haki iliyovunjwa, na hakuna aliyekosea, maridhiano yanahitajika kwa sababu gani?
 
huna haja ya kuweweseka na ukweli huo gentleman, ni muhimu kuzingatia ukweli huo bila kumbwelambwela na mambo useless dhidi hoja mezani 🐒
Hata mjinga naye hujiita anasema ukweli,ulipata kidato cha nne division ngapi kwanza??
 
CDM haikushiriki kwenye uchaguzi,sasa reconciliation ya kazi gani??? Hao wanatafuta kujisafisha na kupata uhalali
 
Back
Top Bottom