figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
maridhiano ni tendo la hiyari, na sio lazima muwe mmekosana.CCM watuambie makosa waliyofanya..
Sioni sababu ya wao kupiga magoti kuomba maridhiano bila kusema walipokosea..
CCM watuambie nini walifanya, sio kushinikiza maridhiano. Unataka kuridhiana na nani?
29.10.2025 tutaikumbuka Daima..
Wanajua walichofanya gizani baada ya kuzima InternetCCM watuambie makosa waliyofanya..
Sioni sababu ya wao kupiga magoti kuomba maridhiano bila kusema walipokosea..
CCM watuambie nini walifanya, sio kushinikiza maridhiano. Unataka kuridhiana na nani?
29.10.2025 tutaikumbuka Daima..
Unaongelea makubaliano. Maridhiano lazima kuwe na pande zinazotofautiana yaweza kuwa kimtazamo, kifikra, kiumani, kimatendo au hata kijamii.maridhiano ni tendo la hiyari, na sio lazima muwe mmekosana.
au wewe na huyo mchumba wako mlikosana kwanza ndipo mkafanya maridhiano na sasa mko pamoja?
mathalani mnaweza kuridhiana kuunda kampuni ya familia au kiwanda, mnaweza kuridhiana kufanya biashara pamoja na rafiki zako n.k.
kwani hapo kuna kukosana gentleman?π
π π πCCM watuambie makosa waliyofanya..
Sioni sababu ya wao kupiga magoti kuomba maridhiano bila kusema walipokosea..
CCM watuambie nini walifanya, sio kushinikiza maridhiano. Unataka kuridhiana na nani?
29.10.2025 tutaikumbuka Daima..
Gentle hyo n mgonjwa tunamjua huwa anasumbua sana kwahy achana nayeUnaongelea makubaliano. Maridhiano lazima kuwe na pande zinazotofautiana yaweza kuwa kimtazamo, kifikra, kiumani, kimatendo au hata kijamii.
kwahiyo ukibaka kwenye hukumu utaambiwa umemuingilia mwenzako bila ridhaa yake au makubaliano yake gentleman?π€£Unaongelea makubaliano. Maridhiano lazima kuwe na pande zinazotofautiana yaweza kuwa kimtazamo, kifikra, kiumani, kimatendo au hata kijamii.
Kidumu kwenda wapi?kidumu chama cha mapinduzi...J.K.Nyerere
Wawataje walioua watanganyika ile Oct 29, 2025 kwanza na kuwafunga wote ndiyo waombe msamahaCCM watuambie makosa waliyofanya..
Sioni sababu ya wao kupiga magoti kuomba maridhiano bila kusema walipokosea..
CCM watuambie nini walifanya, sio kushinikiza maridhiano. Unataka kuridhiana na nani?
29.10.2025 tutaikumbuka Daima..
Nani anataka kuunda kampuni na shetani?maridhiano ni tendo la hiyari, na sio lazima muwe mmekosana.
au wewe na huyo mchumba wako mlikosana kwanza ndipo mkafanya maridhiano na sasa mko pamoja?
mathalani mnaweza kuridhiana kuunda kampuni ya familia au kiwanda, mnaweza kuridhiana kufanya biashara pamoja na rafiki zako n.k.
kwani hapo kuna kukosana gentleman?π
Uchaguzi ulikuwa huru na haki na wakashinda kwa 98 wanajiliza na kutaka maridhiano na waliopata 2%, maajabu haya yanapatikana Tanganyika tu.CCM watuambie makosa waliyofanya..
Sioni sababu ya wao kupiga magoti kuomba maridhiano bila kusema walipokosea..
CCM watuambie nini walifanya, sio kushinikiza maridhiano. Unataka kuridhiana na nani?
29.10.2025 tutaikumbuka Daima..
sio lazima shetani wewe uwe sehemu ya maridhiano hayo ya hiyari ndugu mfuata mkumbo πNani anataka kuunda kampuni na shetani?
Ridhianeni na CHAUSTAsio lazima shetani wewe uwe sehemu ya maridhiano hayo ya hiyari ndugu mfuata mkumbo π
Ulipata kidato cha nne division ngapi kwanzamaridhiano ni tendo la hiyari, na sio lazima muwe mmekosana.
au wewe na huyo mchumba wako mlikosana kwanza ndipo mkafanya maridhiano na sasa mko pamoja?
mathalani mnaweza kuridhiana kuunda kampuni ya familia au kiwanda, mnaweza kuridhiana kufanya biashara pamoja na rafiki zako n.k.
kwani hapo kuna kukosana gentleman?π
waTanzania wote wataridhiana kwa hiyari zao bila kujali mihemko au makasiriko ya wafuata mkumbo πRidhianeni na CHAUSTA
huna haja ya kuweweseka na ukweli huo gentleman, ni muhimu kuzingatia ukweli huo bila kumbwelambwela na mambo useless dhidi hoja mezani πUlipata kidato cha nne division ngapi kwanza
Elimu za hapa na pale kama mama yao eti doktoriUlipata kidato cha nne division ngapi kwanza