CCM, mnawaona CHADEMA walivyo na akili kubwa na ujasiri?

Kwani kwenye Kampeni huwa unawasaidia wewe mkuu?
 
Sawa kabisa CDM ndio chama kinachotakiwa kuongoza watanzania baada ya ukoloni wa CCM.
 
Cdm haijivunii ukubwa bali inajivunia ubora. Mtu mjinga ndio hujivunia ukubwa na sio ubora. Ccm si chama bora, bali ni kikubwa kwa sababu za kihistoria.
πŸ’πŸ’πŸŒΈπŸ’πŸŒΊ
 
Midahalo na demokrasia ya ushindani sio utamaduni wa ccm
 
Midahalo na demokrasia ya ushindani sio utamaduni wa ccm
Kweli kabisa. Zamani CCM walikuwa na utamaduni wa kuiba kura lakini siku hizi utamaduni wao umeimarishwa zaidi, siku hizi hawaibi kura isipokuwa wanapora ushindi kwa nguvu mchana kweupe kwa kutumia askari wanaolipwa kodi zetu.
 
Mbunge VS Darasa la 2???
Outrageous.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…