Kwani kwenye Kampeni huwa unawasaidia wewe mkuu?Hicho ndo kichaka cha CCM kuogopa na hatimaye kukimbia midahalo. CCM ni waoga na waoga kweli kweli. Narudia tena, mgombea ubunge wa CCM ukitaka afanye mdahalo na mwanafunzi wa darasa la pili, huyo mgombea ubunge atakimbia mdahalo kwa kumwogopa mtoto huyo mtoto wa darasa la pili.