Wagombea uongozi wa CHADEMA wanafanya sana midahalo. Mimi nimewapenda sana kwa kufanya hivyo.
Ninachokiamini ni kwamba, CCM walivyo waoga, hata ukimwambia mgombea ubunge wa CCM afanye mdahalo na mwanafunzi wa darasa la pili, huyo mgombea ubunge ataogopa na atakimbia mdahalo.
CHADEMA mmeonesha ujasiri na uwezo wa kiuongozi. Msirudi nyuma. Mpo vizuri, Watanzania tunawaaminini nyie. Mnaweza kutuwakilisha vizuri hata kimataifa. Safi sana.