Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Wanabodi, hili nimekutana nalo mahali kwamba kuna uwezekano Samia Suluhu Hassan akajiondoa kugombea Urais 2025. Hapa ndipo ninajiuliza ikitokea hivyo ninyi wana CCM mnaye mgombea wa akiba? Ni nani na anastahili kwa kiwango gani?