Pre GE2025 CCM mnaye mbadala wa Samia Suluhu Hassan kugombea Urais 2025?

Pre GE2025 CCM mnaye mbadala wa Samia Suluhu Hassan kugombea Urais 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanabodi, hili nimekutana nalo mahali kwamba kuna uwezekano Samia Suluhu Hassan akajiondoa kugombea Urais 2025. Hapa ndipo ninajiuliza ikitokea hivyo ninyi wana CCM mnaye mgombea wa akiba? Ni nani na anastahili kwa kiwango gani?
Labda Giggy Money
 
Bwana Pascal una ID ngapi Mkuu??
 
CCM ni chama kinachoheshimu katiba na taratibu zake zilizojiwekea. Nafasi ya urais kwa wanachama wengine ni hadi 2030. Rais Dr Samia atamaliza miaka yake 10 kama ilivyo utaratibu wa chama.
Samahani naomba kupewa elimu kidogo, kwa mfano Rais aliyepo madarakani (sio lazima huyu) akaumwa let's say afya ya akili au ugonjwa wowote utakaothibitika kwamba hawezi kuendelea kuongoza nchi, na let's ndio alikua kipindi cha mwisho (second phase 5/5) cha utawala wake, na kama katiba inavyosema atakasimisha madaraka kwa Makamu wa Rais, swali je huyu Rais mpya aliyekasimishwa madaraka ataongoza kwa kumaliza ule muda wa mtangulizi then automatically anakua katimiza kumi, kwa mujibu wa katiba. Au ataanza upya, kwamba ndio phase yake ya kwanza???

Mwenye kuelewa tafadhari, maana hapa kijiweni kwetu Marangu majani mapana umekua ni mjadala toka jana!!
Pascal Mayalla
 
ndugu CCM ina hazina ya viongozi wengi sana hii siyo chadema mkuu ya kuvizia vizia watu wa kuazimaazima wapo wengi sana wenye uwezo mkubwa wa kuongoza
Wakati huohuo kuna watumishi wengi walionunuliwa kutoka chadema na kupewa vyeo huko ccm. Mfano Mtariro, Lijuliakali, n.k wakati wako wengi waliokulia ccm lakini hawajapewa hata ubalozi wa nyumba kumi.
 
Sidhani kama chama tawala kina matatizo ya kupata viongozi. Ni huku kwenye upinzani ndio Bado hawajakaa sawa kwenye msingi imara wa chama Cha siasa. Wakiacha kuvurugana watajenga msingi imara ambao vyama vyao vitasinama imara kisiasa.
Ccm sio chama cha siasa bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Hao ccm unaowasifia nguvu yao kubwa iko kwenye governmnent apparatus.
 
Wanabodi, hili nimekutana nalo mahali kwamba kuna uwezekano Samia Suluhu Hassan akajiondoa kugombea Urais 2025. Hapa ndipo ninajiuliza ikitokea hivyo ninyi wana CCM mnaye mgombea wa akiba? Ni nani na anastahili kwa kiwango gani?
Ameshawekeza kwa Mjomba wake sio?
 
Back
Top Bottom