Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ccm ni chama chenye utamaduni wake,kila kiongozi anatumika miaka 10Wanabodi, hili nimekutana nalo mahali kwamba kuna uwezekano Samia Suluhu Hassan akajiondoa kugombea Urais 2025. Hapa ndipo ninajiuliza ikitokea hivyo ninyi wana CCM mnaye mgombea wa akiba? Ni nani na anastahili kwa kiwango gani?
Mleta uzi anatafuta kutukanwa na Mama ongea na Mwanao na Samia QueensCCM ina Utamaduni wake
uRais ni 2030!
Huu uzi nitakuja kuutumia kama reference hapo baadae…Wanabodi, hili nimekutana nalo mahali kwamba kuna uwezekano Samia Suluhu Hassan akajiondoa kugombea Urais 2025. Hapa ndipo ninajiuliza ikitokea hivyo ninyi wana CCM mnaye mgombea wa akiba? Ni nani na anastahili kwa kiwango gani?
Wewe hukujua tu hao walikuwa CCM ila walikuwa huko CDM kwa kazi maalumu hata sasa hivi wapo wengi tu huko ila nyumb hawawezijua! 🤣Wakati huohuo kuna watumishi wengi walionunuliwa kutoka chadema na kupewa vyeo huko ccm. Mfano Mtariro, Lijuliakali, n.k wakati wako wengi waliokulia ccm lakini hawajapewa hata ubalozi wa nyumba kumi.
Kasome katiba ibara ya 46.Samahani naomba kupewa elimu kidogo, kwa mfano Rais aliyepo madarakani (sio lazima huyu) akaumwa let's say afya ya akili au ugonjwa wowote utakaothibitika kwamba hawezi kuendelea kuongoza nchi, na let's ndio alikua kipindi cha mwisho (second phase 5/5) cha utawala wake, na kama katiba inavyosema atakasimisha madaraka kwa Makamu wa Rais, swali je huyu Rais mpya aliyekasimishwa madaraka ataongoza kwa kumaliza ule muda wa mtangulizi then automatically anakua katimiza kumi, kwa mujibu wa katiba. Au ataanza upya, kwamba ndio phase yake ya kwanza???
Mwenye kuelewa tafadhari, maana hapa kijiweni kwetu Marangu majani mapana umekua ni mjadala toka jana!!
Pascal Mayalla
Wamemchosha mama sana Kwa misifa na uchawa Hadi anajikuta anapambania upinzani update mwenyekiti chawa !!Kasome katiba ibara ya 46.
Taratibu mkuu!taratibu!Tena sana!Hata mm nimeota atakufa
LissuWanabodi, hili nimekutana nalo mahali kwamba kuna uwezekano Samia Suluhu Hassan akajiondoa kugombea Urais 2025. Hapa ndipo ninajiuliza ikitokea hivyo ninyi wana CCM mnaye mgombea wa akiba? Ni nani na anastahili kwa kiwango gani?
Endapo nitasikia kajiondoa nitafanya sherehe. Neno Rais linatumika vibaya kwake. Neno Rais linatumika vizuri kwa Rais wa Burkina FasoWanabodi, hili nimekutana nalo mahali kwamba kuna uwezekano Samia Suluhu Hassan akajiondoa kugombea Urais 2025. Hapa ndipo ninajiuliza ikitokea hivyo ninyi wana CCM mnaye mgombea wa akiba? Ni nani na anastahili kwa kiwango gani?