Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Mbadala wa Dr.Samia Suluhu Hassan ni yeye mwenyewe gentleman.Wanabodi, hili nimekutana nalo mahali kwamba kuna uwezekano Samia Suluhu Hassan akajiondoa kugombea Urais 2025. Hapa ndipo ninajiuliza ikitokea hivyo ninyi wana CCM mnaye mgombea wa akiba? Ni nani na anastahili kwa kiwango gani?
ndugu CCM ina hazina ya viongozi wengi sana hii siyo chadema mkuu ya kuvizia vizia watu wa kuazimaazima wapo wengi sana wenye uwezo mkubwa wa kuongozaWanabodi, hili nimekutana nalo mahali kwamba kuna uwezekano Samia Suluhu Hassan akajiondoa kugombea Urais 2025. Hapa ndipo ninajiuliza ikitokea hivyo ninyi wana CCM mnaye mgombea wa akiba? Ni nani na anastahili kwa kiwango gani?
Huyu JG ni nani?Yupo mlawi JG
Ni mlawi.Huyu JG ni nani?
Huko ndani kunatokota chini kwa chiniWanabodi, hili nimekutana nalo mahali kwamba kuna uwezekano Samia Suluhu Hassan akajiondoa kugombea Urais 2025. Hapa ndipo ninajiuliza ikitokea hivyo ninyi wana CCM mnaye mgombea wa akiba? Ni nani na anastahili kwa kiwango gani?
Hakuna huo utaratibu yeye yupo anarithi msijisahaulishe mambo ya milathi hayoCCM ni chama kinachoheshimu katiba na taratibu zake zilizojiwekea. Nafasi ya urais kwa wanachama wengine ni hadi 2030. Rais Dr Samia atamaliza miaka yake 10 kama ilivyo utaratibu wa chama.
Kwani JPM ilikuwa amalize lini?CCM ni chama kinachoheshimu katiba na taratibu zake zilizojiwekea. Nafasi ya urais kwa wanachama wengine ni hadi 2030. Rais Dr Samia atamaliza miaka yake 10 kama ilivyo utaratibu wa chama.
Kamuulize mumeoKwani JPM ilikuwa amalize lini?