CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

Tanzania Media Women Association (Tamwa) public relations officer Florence Majani also slammed the MP for her remarks.
“The time must come when women are recognized for their professionalism and not for their external appearance,” she said in response to Husna’s comment.
She said Tanzanians should start teaching their children that beauty is not everythig - and that they would be appreciated for their intelligence, ability to learn and think critically, as well as show respect and love to all people without segregating.
Globally, a person may join the cabin crew if they are 18 years or older; speak a second language and have a good standard of education.
Source: The Citizen
 
Unapokua kiongozi ni vizuri kuchunga sana kauli zako.
Kauli ya mbunge ina athari kubwa sana katika jamii na anaweza kushtakiwa na Cabin Crews wa Air Tanzania. Pili Mbunge anaharibu Image reputation ya Shirika la ndege la Tanzania.
Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania inakataza mtu yoyote kumvunjia heshima au kumbagua mtu kwa aina yoyote ile.
Hakuna haja ya Kuchangia Bungeni kama unaona Utachangia Pumba!! Mohamedi Dewji + Rostam Aziz walikua wabunge for 5 yrs lakini hawakuwahi kuchangia mijadala ya bunge ila haimaanishi kuwa hawakua Wabunge Bora
 
Kama utakuwa umesafiri na kupanda ndege tofauti bs utakubaliana na huyo mbunge, binafsi nilipanda Dreamliner yetu nikashangaa kuona wahudumu wetu wapo kawaida sana hata uchangamfu pia hawana
 
Me
IMG-20191106-WA0023.jpeg
 
Kwani ndege zinabeba wanaume tu ili wavutiwe na hao wahudumu wanawake? Ndege Zina wahudumu wanaume pia haya huyo mwilima atueleze vigezo vya mhudumu mrembo wa kiume aweje?
Wahudumu warembo wanavutia wanaume na wanawake
 
Haya mambo hayafai kuyasema hadharani
Ni insensitive sana kumuambia air hostess hana mvuto wa kuwa air hostess.
Kuna kipindi walikuwa wakiwakejeli mtandaoni, dah niliona watu hawajali kabisa hisia za watu
Kama ni ushauri unatoa tu kimyakimya kwa wahusika wanaufanyia kazi
Utaajirije Air Hostess mwenye kitambi? Atavaaje sketi au Suruali?
 
Kuna siku Jiwe alisema wahudumu wa ATCL wamechokachoka. Wengi wameajiriwa kindugu.
 
Agiza soda mkuu, hawa wanao mkosoa huyo mbunge huenda wana undugu na hao wadada
Huyo mbunge nayeye ni mteja wa ndenge za ATCL kwaiyo wa Tanzania tusimtukane yeye katoa maoni kama habiria kwaiyo ATCL waichukulie kauli ya mbunge kama maoni wasijenge chuki.
 
Hii ndio shida ya kupeleka makahaba Bungeni. Wao wanawaza ngono masaaa yote.
 
Mbunge wa Kigoma Kusini nchini Tanzania (CCM) Husna Mwilima amesema wahudumu wa ndege wanaoajiriwa na Shirika la Ndege Nchini (ATCL) hawana mvuto kwa wateja

Back Kafulila ondoa uchuro
 
Mwilima mwenyewe sura yake kama vile ana tumbo la kuendesha amecheleweshwa kwenda uani. Viongozi wa namna hii tabu sana; anabagua raia kutoka na sura zao.
 
Back
Top Bottom