CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

Acheni unafiki yule mama yupo sahihi kabisa shirika linahitaji mabinti kwa maana ya mabinti sio unaweka watu matumbo ya uzazi yamewashuka wakati mabinti wapo wengi tu warembo na wenye mvuto kwa wateja?msitetee mambo yanayolikwamisha shirika mheshimiwa yupo sahihi kabisa
 
Kipindi hiki cha kukaribia uchaguzi ni cha kuchagua maneno na kuchunga kuropoka kwa kulizoea bunge wabunge wengi hata kwenye kampeni huponzwa na midomo yao kwenye jamii ama kwa wapigakura. Ukitafsiriwa kuwa una dharau kwa njia yoyote inakuponza. Kumbuka hakuna binadamu aliyejiumba, na unapomkosoa binadamu mwenzako ambaye amejikuta jinsi alivyoumbwa ni kumkosoa Mungu.
 
Mkuu wa Tanzania ni wanafiki sana huyo mama yupo sahihi kabisa huwezi kuweka watu wasiofaa kwa kisingizio kua wote wapo sawa
ATCL kwann wasipokee huu ukweli na kuufanyia kazi? Haaliingii akilini unalipa laki 6 wani-wei halafu kwenye ndege unakutana na ebitoke eti ndo hostess!
 
Poleni sana... wanamke hampendani siku zote...

Labda kimemo chake hakikupitishwa...

Cc: mahondaw
 
Wabongo bana..kwa hiyo kama mademu wabovu aseme ni visuu?

Black and white mpe mtu ukweli tembea na mia
 
Nimeongelea CCM kwa kuwa ndio tiketi iliyofanya apate iyo platform ya kuongea humo Bungeni, sasa inabidi aweke Pembeni ajuwe thamani ya utu, na hadhi ya kiongozi wa ngazi yake siyo kupayuka OVYO
Ondoa uchama mkuu tujadili utu aliuzalilisha
 
Alitaka tujue kapanda Ndege,swali la msingi je yeye ana mvuto..?
 
Unaelewa kama nibiashara hospitali na watu wanatengeza fedha?
Wewe ukiwa na dharura ya kuumwa utakataa kutibiwa hospitali kisa manesi hawana mvuto? Mi naongelea travel ambayo mtu unapangilia kwamba nikate ticket ya ndege ipi na inayoondoka lini, hivyo utachagua airline yenye mvuto.
 
Nitakujibu kwa hii hoja yako in other ways

1. Wengine wanaenda kwa malengo hayohayo ya ugonjwa kutibiwa UK, India, Kenya nk

Utakataa kupanda ndege sababu wahudumu hawana mvuto?

2. Watu wanasafiri kwenda kibiashara nk, ukiwa na akili timamu utakataa kupanda ndege kisa urembo au ufupi wa wahudumu?
 
Nikiwa na option ya kumpandisha mgonjwa wangu basi nitachagua kumpandisha ndege yenye mvuto katika kila nyanja, ili ugonjwa usije ukachanganyika na msongo wa mawazo safarini na hatimae akapata complications kabla hata hajafika kutibiwa.
Mtu anaesafiri kibiashara huwa wanakuwaga na stress, sasa kupanda lindege lenye wahudumu wenye sura kama za asha ngedere ni kumuongezea msongo wa mawazo, hakuna mfanyabiashara mwenye pesa yake ataacha ndege yenye mvuto akapanda isiyo na mvuto.
 
Badala ya kupigania ujenzi na ukarabati wa uwanja wa ndege wa Kigoma ikiwa ni pamoja na jengo la abiria, Mbunge huyu wa ajabu anawaonea wivu wahudumu wa kike kwenye ndege?. Aibu kwake na kwa jimbo lake kwa kuchagua mwakilishi asiyefaa!.
 
Nikiwa na option ya kumpandisha mgonjwa wangu basi nitachagua kumpandisha ndege yenye mvuto katika kila nyanja, ili ugonjwa usije ukachanganyika na msongo wa mawazo safarini na hatimae akapata complications kabla hata hajafika kutibiwa.
Mtu anaesafiri kibiashara huwa wanakuwaga na stress, sasa kupanda lindege lenye wahudumu wenye sura kama za asha ngedere ni kumuongezea msongo wa mawazo, hakuna mfanyabiashara mwenye pesa yake ataacha ndege yenye mvuto akapanda isiyo na mvuto.

Jamii yako warembo/handsome?

Nini matarajio na mtazamo wako kwa ndugu jamaa na rafiki zako?

Mama
Baba
Kaka
Dada

Kwa maana ya mvuto, urembo na ufupi?
 
husna kiboko ya Kafulilyee, 2020 sijui itakuaje
WAlimwibia kura,
2020 ni mte;lezo, Dikteta hataki uchaguzi, ukiteuliwa na CCM wewe tayari ni mbunge.
Obvious lazma kafulila arudi , lakini kama nchi haitakuwa na machafuko, maana yanayoendele amnayaona.
 
Huyu hata kibiashara kaiharibia ATCL yetu, Hawa watu wanakula kodi zetu DODOMA wamekaa tuu hawajui ugumu wa kutafuta masoko. Sisi tunapambana kubrand shirika yeye analeta masihala. CCM huyu mama mwakani wamuweke Pembeni kwa dharau izi hata fomu yake isiingie vikao vya awali kujadiliwa
Hawa ndio aina ya wabunge wanaifaa ccm, unataka ccm iwapeleke wapi, ccm ukiwa Great thinker hupati nafasi ya kuteuliwa kugombea, wanapenda wa hivi kwa hiyo mkuu huyo mama ataendelea kuwa mbunge wa ccm tu hata ufanyeje, hata rais wenu anawapenda hawa wasema hovyo, alishakiri hilo kwa kigwangala
 
Huyu mama amejipalia makaa.. atachambuliwa yeye na familia yake.
Ubaya ubaya.
 
Back
Top Bottom