UPOPO
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,563
- 5,687
Umeshasema ya mapilot ,si ndio na iko tofauti na miwani inayovaliwa kawaidaMbona kuna miwani za ma pilot?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshasema ya mapilot ,si ndio na iko tofauti na miwani inayovaliwa kawaidaMbona kuna miwani za ma pilot?!
Hii si sahihi, kumkejeli mwenzako tena kwa kitu kinachokaribiana na ukweli.Nashauri Jamhuri iwafikishe mahakamani kwa kukashifu, wawalipe fidia wahudumu wetuHaya mambo hayafai kuyasema hadharani
Ni insensitive sana kumuambia air hostess hana mvuto wa kuwa air hostess.
Kuna kipindi walikuwa wakiwakejeli mtandaoni, dah niliona watu hawajali kabisa hisia za watu
Kama ni ushauri unatoa tu kimyakimya kwa wahusika wanaufanyia kazi
Unauliza au unaeleza?Yeye mwenyewe Ana mvuto
Ova
Ni kosa kufuta kosa kwa kufanya kosaMbona bintiye mzuri tu?
Alikosea lakini wewe pia umekosea kuendeleza upumbavu wa ubaguzi.
"The best revenge is to do unlike your enemy"
m'bembe huyu, Muha atambe, huyu asili yake ni huko KongoHivi muha anathubutuje kuwaita wengine wafupi?