Leo 7-11-2019 mbunge
husna SUDI KATUNDA Mwilima wa Kigoma Kusini, akiwa bungeni katika mjadala amesema ma "hair hostes" wa ATCL hawana mvuto.
Huyu ndiye liyeiba kura za DAVID KAFULILA, lakini sasa KAFULILA KARUDI CCM na MWILIMA ajiandae kuondoka mapema sana.
Bi. Husna Mwilima alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai (Kilimanjaro) aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa UWT.
Huyu bi shosti hajachangia chochote katika jimbo na hana jipya, kigoma ilipoteza mtu muhimu sana kama KAFULILA WA CHADEMA, siyo huyu wa PRAISE AND WORSHIP team
1.Amesema ni wafupi na hawana mvuto wowote.
2..Ametukana zaidi ya nusu ya wanawake wa Tanzania.
3..Amewafanya wanawake wafupi kujisikia kama si Watanzania na hawajikubali.
4..Amefanya wanawake wasio na shape, shapeless kujisikia vibaya na wameadhirika kisaikolojia.
Lakini pia, huyu mama na dharau zake zote, AMEKOPA NYUMBA KIJICHI NA HAJALIPA, amesababisha shirika kuyumba sana.
WANAWAKE WOTE WAFUPI KWA MUJIBU WA MWANAMKE MWENZENU " hamna mvuto" yaani wanawake wafupi kwa mujibu wa Mwilima, hamna mvuto, hamtapata kazi tena ATCL.
Kwa wale wanafunzi wa u-hair hostes, kama wewe siyo mweupe kama mchagga na kama si mrefu katafute kozi nyingine na kama umeshalipa ada omba uhamisho wa chuo kingine kwakuwa mbunge wetu hataki watu wafupi na wasio na mvuto.
Wakati mbunge wa Kigoma Kusini (CCM), Husna Mwilima akisema wahudumu wa ndege za ATCL hawana mvuto kwa wateja, shirika hilo limesema haliwachagui kwa ajili ya kuonyesha sura.
Sasa naomba niweke picha yake, muone lishepu lake kama TAIRI LA GARI , na pia mtoto wake hana uzuri wowote, kama anaona wa wenzake si wazuri basi hastahili kuwakilisha wanawake bungeni.
huyu mama kwa nguvu zote.
Sura yake tu imechujika hata MAKE UP imemkataa.
Hawa warembo wa namna na hii eti hawana mvuto anajilinganisha na lishepu lake kama la kambale?