CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

Acha kujipotosha wewe, uzuri nje, tabia tutajuana huko ndani ya nyumba.

Mbona ebitoke hagombaniwi kama Hamisa mabeto na wema sepetu au Nandy?

tuliza kwanza mboni na sikio upate kuielewa kauli yangu kabla y kujibu..
 
Nafikiri hii ni aina nyingine ya Ubaguzi, Take care of your Own
 
Huenda huyu mama na yeye anaangalia kama wahudumu wanayo chura.

#adui wa mwanamke ni mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…