CCM: Mpuuzeni Butiku! Zuio la CHADEMA kutokufanya siasa linatoka Mahakamani, sio Serikalini

Baada ya Samia kukivuruga chama chake na kukosa kuungwa mkono ndani ya ccm na kwa Watanzania, aliamua kuyakamata makundi aliyoyaona yana ushawishi mkubwa akayahonga fedha nyingi na wengine kuwaahidi vyeo na fursa mbalimbali baada ya uchaguzi ili yamuunge mkono kwenye uchafuzi aliouiba Oktoba 2025.

Moja ya makundi yaliyoshawishiwa kwa fedha, ahadi ya fursa na nafasi mbalimbali ni pamoja na Bakwata,Vyama ya Siasa kadhaa wakiwemo ACT na CHAUMMA, Maaskofu kadhaa na wanaojiita mitume na manabii, Mzee Butiku na kundi lake akiwemo Bashiru Ally.

Kati ya watu waliokataa kushiriki mipango miovu ya Samia ni pamoja na Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC), Humphrey Polepole ambaye alisalitiwa na Butiku kisha kukamatwa na inasemekana ameuliwa tayari pamoja na Tundu Lissu na Chadema yake mpya ambao walikataa ahadi za fedha na vyeo ili kumpa legitimacy Samia kwa uchaguzi haramu.

Siri moja ambayo watu wanaotumiwa na CCM wanapaswa kujua ni kwamba CCM wakishakutumia kamwe huwezi tena kurudi kwenye asili yako. Pia wakishakutumia thamani yako kwao ndo inqkuwa imeshaisha maana CCM wakishajua udhaifu wako ni pesa na ukaila pesa yao hapo ndo heshima yote waliyokupa inakuwa imeisha.

Polee Mzee Butiku. Uroho wako wa pesa umefikia kutukanwa namna hii.
Ungejifunza kwa Lissu kusimamia ukweli na haki daima hadi kaburi lako lingekuwa sehemu ya kuhiji kwa Watanzania.
20260121_133312.jpg
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefafanua kuwa kuzuiwa kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya shughuli zake za kisiasa hakutokani na uamuzi wa CCM wala Serikali, bali ni maagizo ya Mahakama Kuu ya Tanzania.

kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Januari 21, 2026, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amesema kuwa zuio hilo linatokana na uamuzi wa Mahakama Kuu katika shauri la maombi madogo namba 8960 la mwaka 2025.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, shauri hilo lilifunguliwa na wanachama wa CHADEMA akiwemo Said Issa Mohammed, Ahmed Rashid Khamis maarufu “Ana Komu”, wakiiomba Mahakama iamuru chama hicho kisifanye shughuli zozote za kisiasa wala kutumia mali za chama hadi pale mgogoro wa ndani unaoendelea utakapopatiwa ufumbuzi wa kisheria.

Kihongosi amesema Mahakama Kuu ilisikiliza maombi hayo na kutoa zuio la muda hadi shauri la msingi namba 8323 la mwaka 2025 litakapomalizika kusikilizwa na kuamuliwa.

Amesisitiza kuwa CCM haina mamlaka wala sababu ya kuzuia shughuli za CHADEMA, akibainisha kuwa masuala yote yanayohusu zuio hilo yako mikononi mwa Mahakama, na kwamba chama chake kinaheshimu misingi ya utawala wa sheria na maamuzi ya mhimili wa Mahakama.

Katika wito wake kwa Watanzania, Kihongosi amewataka wananchi na wadau wa siasa kuacha kutoa tafsiri potofu au lawama zisizo na msingi, na badala yake waheshimu maamuzi ya Mahakama kama chombo halali cha kutoa haki nchini.

Pia Soma: Butiku amshukia mwenezi CCM: 'Ziara ya hovyo', Agusia sakata la CHADEMA

Wanafikiri wananchi hawajui hiyo michezo yao michafu....!!
 
Mahakama za ccm ambazo zinafanya kazi chini ya maelekezo ya samuya, kesi ya kumpinga samuya kuwa mgombea wa ccm iliishia wapi, kesi ya kumzuia Mpina kugombea iliishia wapi, kama samuya alijiapisha kwa matokeo ya uongo na akaapishwa na jaji mkuu unategemea kuna mahakama ya kutenda haki kwa upinzani
 
Uzi umeshamnuliwa kama nyuki, Ni moto; mzima switch kaamshwa tena! Bila vpn hufiki jf
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefafanua kuwa kuzuiwa kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya shughuli zake za kisiasa hakutokani na uamuzi wa CCM wala Serikali, bali ni maagizo ya Mahakama Kuu ya Tanzania.

kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Januari 21, 2026, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amesema kuwa zuio hilo linatokana na uamuzi wa Mahakama Kuu katika shauri la maombi madogo namba 8960 la mwaka 2025.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, shauri hilo lilifunguliwa na wanachama wa CHADEMA akiwemo Said Issa Mohammed, Ahmed Rashid Khamis maarufu “Ana Komu”, wakiiomba Mahakama iamuru chama hicho kisifanye shughuli zozote za kisiasa wala kutumia mali za chama hadi pale mgogoro wa ndani unaoendelea utakapopatiwa ufumbuzi wa kisheria.

Kihongosi amesema Mahakama Kuu ilisikiliza maombi hayo na kutoa zuio la muda hadi shauri la msingi namba 8323 la mwaka 2025 litakapomalizika kusikilizwa na kuamuliwa.

Amesisitiza kuwa CCM haina mamlaka wala sababu ya kuzuia shughuli za CHADEMA, akibainisha kuwa masuala yote yanayohusu zuio hilo yako mikononi mwa Mahakama, na kwamba chama chake kinaheshimu misingi ya utawala wa sheria na maamuzi ya mhimili wa Mahakama.

Katika wito wake kwa Watanzania, Kihongosi amewataka wananchi na wadau wa siasa kuacha kutoa tafsiri potofu au lawama zisizo na msingi, na badala yake waheshimu maamuzi ya Mahakama kama chombo halali cha kutoa haki nchini.

Pia Soma: Butiku amshukia mwenezi CCM: 'Ziara ya hovyo', Agusia sakata la CHADEMA
Faki zati sonofabitch! CCM wanatuona sisi wajinga! Mahakama ambazo mahakimu na majaji wake ni makada wa CCM nazo ni mahakama, in the strictest sense of the word?
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefafanua kuwa kuzuiwa kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya shughuli zake za kisiasa hakutokani na uamuzi wa CCM wala Serikali, bali ni maagizo ya Mahakama Kuu ya Tanzania.

kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Januari 21, 2026, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amesema kuwa zuio hilo linatokana na uamuzi wa Mahakama Kuu katika shauri la maombi madogo namba 8960 la mwaka 2025.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, shauri hilo lilifunguliwa na wanachama wa CHADEMA akiwemo Said Issa Mohammed, Ahmed Rashid Khamis maarufu “Ana Komu”, wakiiomba Mahakama iamuru chama hicho kisifanye shughuli zozote za kisiasa wala kutumia mali za chama hadi pale mgogoro wa ndani unaoendelea utakapopatiwa ufumbuzi wa kisheria.

Kihongosi amesema Mahakama Kuu ilisikiliza maombi hayo na kutoa zuio la muda hadi shauri la msingi namba 8323 la mwaka 2025 litakapomalizika kusikilizwa na kuamuliwa.

Amesisitiza kuwa CCM haina mamlaka wala sababu ya kuzuia shughuli za CHADEMA, akibainisha kuwa masuala yote yanayohusu zuio hilo yako mikononi mwa Mahakama, na kwamba chama chake kinaheshimu misingi ya utawala wa sheria na maamuzi ya mhimili wa Mahakama.

Katika wito wake kwa Watanzania, Kihongosi amewataka wananchi na wadau wa siasa kuacha kutoa tafsiri potofu au lawama zisizo na msingi, na badala yake waheshimu maamuzi ya Mahakama kama chombo halali cha kutoa haki nchini.

Pia Soma: Butiku amshukia mwenezi CCM: 'Ziara ya hovyo', Agusia sakata la CHADEMA
Nijuavyo ama wajuavyo sirikali ni chukua chako mapema(ccm)na chukua chako mapema ni sirikali hivyo wadanganye warundi ili wabongo tuachage tu!
 
Hiki chama Cha CCM kinazidi kudidimiza taifa shimoni. Nani mwenye akili timamu asiyetambua mchoro mzima hadi uamuzi wa mahakama una baraka zote za CCM!

Kihongosi is such useless individual

Kihongosi is not only useless but indeed a burden to our nation, better he had not been born.
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefafanua kuwa kuzuiwa kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya shughuli zake za kisiasa hakutokani na uamuzi wa CCM wala Serikali, bali ni maagizo ya Mahakama Kuu ya Tanzania.

kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Januari 21, 2026, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amesema kuwa zuio hilo linatokana na uamuzi wa Mahakama Kuu katika shauri la maombi madogo namba 8960 la mwaka 2025.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, shauri hilo lilifunguliwa na wanachama wa CHADEMA akiwemo Said Issa Mohammed, Ahmed Rashid Khamis maarufu “Ana Komu”, wakiiomba Mahakama iamuru chama hicho kisifanye shughuli zozote za kisiasa wala kutumia mali za chama hadi pale mgogoro wa ndani unaoendelea utakapopatiwa ufumbuzi wa kisheria.

Kihongosi amesema Mahakama Kuu ilisikiliza maombi hayo na kutoa zuio la muda hadi shauri la msingi namba 8323 la mwaka 2025 litakapomalizika kusikilizwa na kuamuliwa.

Amesisitiza kuwa CCM haina mamlaka wala sababu ya kuzuia shughuli za CHADEMA, akibainisha kuwa masuala yote yanayohusu zuio hilo yako mikononi mwa Mahakama, na kwamba chama chake kinaheshimu misingi ya utawala wa sheria na maamuzi ya mhimili wa Mahakama.

Katika wito wake kwa Watanzania, Kihongosi amewataka wananchi na wadau wa siasa kuacha kutoa tafsiri potofu au lawama zisizo na msingi, na badala yake waheshimu maamuzi ya Mahakama kama chombo halali cha kutoa haki nchini.

Pia Soma: Butiku amshukia mwenezi CCM: 'Ziara ya hovyo', Agusia sakata la CHADEMA
Chama cha mapinduzi waache ulagahai, wakiambiwa wameizui chadema kufanya siasa wanakimbia lkn wakiambiwa hospitali iliyojengwa sio ccm ni serikali wang'aka kuwa ni ya ccm kwa sababu ccm ndo wanaisimamia serikali. Wawe wakweli tu hata kama mengine wanafanya kwa mlango wa nyuma kwamba wao ndo wanatenda. Maridhiano hayawezi kufanikiwa kwa ujanja ujanja wa kubadilisha maneno. Kihongosi ni ccm na Butiku ni ccm. CCM wasipoona umuhimu wa kuweka uwanja sawa wa kufanya siana hayo maridhiano itakuwa ni geresha tu. Mmeifungia chadema iacheni ifanye siasa kama nyinyi mnavyofanya.
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefafanua kuwa kuzuiwa kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya shughuli zake za kisiasa hakutokani na uamuzi wa CCM wala Serikali, bali ni maagizo ya Mahakama Kuu ya Tanzania.

kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Januari 21, 2026, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amesema kuwa zuio hilo linatokana na uamuzi wa Mahakama Kuu katika shauri la maombi madogo namba 8960 la mwaka 2025.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, shauri hilo lilifunguliwa na wanachama wa CHADEMA akiwemo Said Issa Mohammed, Ahmed Rashid Khamis maarufu “Ana Komu”, wakiiomba Mahakama iamuru chama hicho kisifanye shughuli zozote za kisiasa wala kutumia mali za chama hadi pale mgogoro wa ndani unaoendelea utakapopatiwa ufumbuzi wa kisheria.

Kihongosi amesema Mahakama Kuu ilisikiliza maombi hayo na kutoa zuio la muda hadi shauri la msingi namba 8323 la mwaka 2025 litakapomalizika kusikilizwa na kuamuliwa.

Amesisitiza kuwa CCM haina mamlaka wala sababu ya kuzuia shughuli za CHADEMA, akibainisha kuwa masuala yote yanayohusu zuio hilo yako mikononi mwa Mahakama, na kwamba chama chake kinaheshimu misingi ya utawala wa sheria na maamuzi ya mhimili wa Mahakama.

Katika wito wake kwa Watanzania, Kihongosi amewataka wananchi na wadau wa siasa kuacha kutoa tafsiri potofu au lawama zisizo na msingi, na badala yake waheshimu maamuzi ya Mahakama kama chombo halali cha kutoa haki nchini.

Pia Soma: Butiku amshukia mwenezi CCM: 'Ziara ya hovyo', Agusia sakata la CHADEMA
Hili la Butuku na chukua chako mapema,sasa ni wazi kuwa ni hadaa kwa watanganyika.Hili alione Kihongosi asiye kiongozi.
 
Back
Top Bottom