We fikiria, sasa hivi Tlaatla sasa hivi ni mbunge, hilo bunge litakuwaje? Toilet Paper inayotumiwa na wahuniNaona mmepigwa ganzi s butwaa hiyo ndiyo faida ya party cocus na vifijo vya kuwa bendera fuata upepo bila kufikiri, nadhani sasa mmejua kwamba chama kinatumika kukamilisha mission za wahuni ila ndiyo hivyo mmechelewa sasa