Kwa muda mrefu sasa hii nchi yetu pendwa Tanzania imekuwa imesimamisha kimaendeleo na upotofu wa chama tawala cha CCM
Upotofu ni kwa wana CCM kujilinganisha na chama tawala cha kidikteta cha China. Yaani tunataka kufuata uratatibu wa demokrasia kama nchi lakini chama bado kina fikra potovu ya kuwa kama chama cha China.
Ukweli ni kwamba Tanzania na CCM haitaweza kuwa kama China. Nyerere alijaribu hili miaka ya 70’s kwa kuanziasha azimio la Arusha na vijiji vya ujamaa viko wapi leo? Vimekufa kwanini vilikufa? Kwasababu jamii yetu na jamii ya china ni tofauti sana. Mfumo wa China utafanikiwa pale tu jamii hazina tofauti sana mfano makabila, dini, jamii za kifugaji, jamii za wakulima, wavuvi… . Jamii yetu imetokana na makabila na huwezi kuwalazimisha kuwa na siasa moja na kusikiliza chama kimoja wakati jamii nyingi zinatifautiana kiasi hiki. Njia pekee ya amani ya kudumu ni demokrasia na sio system ya Raisi mfalme au malkia kama China na Tanzania ya sasa.
Kibaya zaidi tutapoteza muda sana kuhangaika na kukwamisha mambo ya maendeleo kama katiba bora kwa dhana ambayo haitawezekana ya kuwa China ya Africa. Kagame anaweza kidogo kwa nchi ndogo na makabila mawili hii haitawezekana Tanzania.
Niwape mifano ya vitu ambayo havitawezekana Tanzania na kuonyesha tofauti
1. Hivi kwa utamaduni wetu inaweza lufikia sehemu serikali inapiga marufuku dini zote na kulazimisha watu kuamini sera za chama tawala? Haiwesskani
2. Je inawezekana serikali kufika sehemu kupangia watu idadi ya Watoto kwa familia na kutoa mimba watu kama serikali ya China?
Hayo mawili kama hayawezekani maana yake ni kwamba jamii yetu ni tofauti sana na mfumo pekee ambao utawezekana kwa jamii yetu na kutuepushia vita huko mbele ni democracy pekee. CCM acheni kupoteza muda kwa nchi majirani wanakimbia mbele