Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Angekuwa na utumishi uliotukuka angekuwepo hadi leo.Unataka kusema Magufuli alikuwa mbaya?
Turudi katika kuasisi sera zinazo waondolea wananchi matatizo yao ikiwa ni pamoja na maendeleo.Makundi huko CCM yaliasisiwa tangu enzi za Kikwete, wanaofuata wanaendeleza tu hiyo tabia, na pale ambapo viongozi wanajua wanachaguliwa ili wakale kwa urefu wa kamba zao lazima wachague kundi lenye nguvu ili wakatimize malengo yao.
Na kwakuwa baadhi ya watendaji wa Kikwete bado wapo mpaka awamu hii, basi nategemea makundi yaendelee kuwepo ili wajitengenezee njia ya kula kuelekea 2025.
Nyerere alikufa kwa kuwa hakuwa na utumishi uliotukuka?Angekuwa na utumishi uliotukuka angekuwepo hadi leo.
Wewe umemuongelea Magufuli, endelea na mlolongo huo.Nyerere alikufa kwa kuwa hakuwa na utumishi uliotukuka?
Nyerere yeye ni uzee, alishskuwa mzee tayari, ilikuwa haki yakeNyerere alikufa kwa kuwa hakuwa na utumishi uliotukuka?
Kwahiyo viongoz wote waliokufa mfano Maalim Seif naye alikua kiongoz muovu ndio maana kafa?Angekuwa na utumishi uliotukuka angekuwepo hadi leo.
Usiwe na ufinyu wa mawazo , jadili mada.Kwahiyo viongoz wote waliokufa mfano Maalim Seif naye alikua kiongoz muovu ndio maana kafa?
Na huo ndo wasi wasi wangu pia.CCM inabidi muangalie upya mfumo wenu wa kupata viongozi kosa mlilotufanyia 2015 linaweza jirudia Tena .Inaonekana kwenye kiti Cha spika Kuna linyang'au jingine kama jiwe linaenda kuuokota uspika .
Hiyo mada yako mbona unaweka ufinyu wa hoja na mifano?Au unataka kusikia kile unachopenda tu kusikia?Mada yako ni open na lzm tukupe mifano kuonesha humo KICHWANI mwako umejaa ujinga mwingiUsiwe na ufinyu wa mawazo , jadili mada.
Mzee miaka 77?Nyerere yeye ni uzee, alishskuwa mzee tayari, ilikuwa haki yake
Hata Yesu alifia msalabani kwa ubaya?Wewe umemuongelea Magufuli, endelea na mlolongo huo.
Nyerere hakuwa Rais wakati anakufa. Alisha staafu miaka 15 nyuma. Jiwe alikuwa bado RaisNyerere alikufa kwa kuwa hakuwa na utumishi uliotukuka?