Ukubali, Ukatae, Huyu LISSU ni Gifted, Brilliant, ana akili Nyingi mnoo, ana upeo Mkubwa sana alafu Ndani yake ana Nguvu kubwa ya Kiroho.
Haingii Akilini Risasi 16 MTU anatoboa ,alafu bado umchukulie poaa, watu Huwa wanaondoshwa na Risasi Moja au Mbili !!.
LISSU hatua alofikia ni ASOOGOPA CHOCHOTE.
Kama hiyo haitoshi, Uwezo wake mkubwa wa Akili ninaamini sio wasomi wa chama chake tu ,la hashaa, wasomi wote wa Tanzania ikiwemo wa CCM wenyewe, hupenda kumsikiliza Tena Kwa utulivu uku wakishangazwa na Uwezo wake mkubwa/Kipaji Cha kuzaliwa alichovuviwa na Mungu.
Kwa karama yake ya kupigania haki, kuwatetea wanyonge , kuchukua Rushwa na uonevu, HUYU LISSU Kapewa Jukumu zito na Mungu, Hazuiliki.
Yoyote atakayekua anajitokeza Kumjibu LISSU ataonekana mpuuzi tu katika Masikio na macho ya Walimwengu .
Kwa mfano Hotuba ya Jana, LISSU kaungwa Mkono na Rejea za Tume ya Warioba, Katiba, Tafiti za masharika ya Ndani na Nje n.k .
Sasa hotuba kama Ile unaijibuje? Ndo maana ni ama Machawa Kwa kujipendekeza au kutumwa, wanaishi tu kusema "Amani yetu ,Amani yetu ".
LISSU anahitajika kujibiwa na Wazee Akina Jaji Warioba, Prof Shivj , yaan hapa Sio tu uwe Mzee ,ni uwe Mzee mwenye Akili TIMAMU bado alafu Msomi kwelikweli aloelimilka na kama ni Makamo ya LISSU hakikisha unaendana naye kwenye Uelewa wa mambo Kwa nyanja zake.
Leo Mwigulu Bungeni, kaishia tu kusema "Tunaelewa Uwezo wao, tulifanga nao kazi tunawaelewa " , ataishia hapo.
Kujibu LISSU usikurupuke kisa una Waandishi na umeolewa Maiki .
Kwa mfano, Mwenyekiti UWT, nani kamshauri amjibu LISSU kirahiiiiisi namna Ile?.
Ukiondoa Matumizi ya Dola, CCM ni kama hawana MTU wa kujibishana Kwa Hoja na LISSU, na ndio Sababu kulifanyika JARIBIO la kuuwawa.
Kuuwawa Kwa LISSU ni makosa makubwa ambayo Taifa tungeyapata,, LISSU anapaswa kulisaidia Taifa hata kama ni Mpinzani.
Hakuna mwenye akili anamfuatilia huyo mropokaji na mzushi. Huyo ni kibaraka la wazungu. Unajua familia yake iko wapi? Anataka kutuharibia nchi yetu afie hukoMimi naona kama Hakimu kaji changanya amemfunga Jela Mwanasheria, Baada ya muda mfupi wafungwa wote wataelimika... Maana watapata elimu ya kisheria bila ada.. Na kukata rufaa..
Sasa mfumo wa Siasa za Lissu ni hotuba zenye shule ndani yake kwa na mara nyingi watu huzitafuta kwa gharama zao. (Bundles).. Sasa wajinga wote wanaelekea kujanjaruka . Na ikumbukwe kuna wizi na uporaji... Uporaji mlalamikaji anakuwa na hakika kaporwa tofauti na kuibiwa..
Mkuu Mimi sina Chama ila naamini ili ukue lazima ubadilike. Mtu mmoja hawezi kuharibu nchii.. Huyu Lissu ana exposure nje ya nchi... Kwa mujibu wa maelezo yake mkewe na watoto wanaishi ughaibuni na wana shughuli wanafanya..Hakuna mwenye akili anamfuatilia huyo mropokaji na mzushi. Huyo ni kibaraka la wazungu. Unajua familia yake iko wapi? Anataka kutuharibia nchi yetu afie huko
Zanzibar ni ka kichuguu flan ila mchwa wake wamenona mbaaaayaZanzibar inatakiwa kuwa na wabunge watano tu wanatosha
OfcourseWe all Agree
Mbona mnamkuza hivyo huyu jamaa?Lissu sio mtu wa kawaida.
Hana record ya kuonyesha angalau Jimbo lake ajira zilitengenezwa, angalau number ya watoto waliosomeshwa Kwa Juhudi za local government zingekuwepo tungesema tutegemee makubwa...Kwenye ukosoaji yupo vizuri, lakini kwenye utendaji no, Bado hujani shawishi kuwa ataleta mabadiliko makubwaAanze na Siasa za Kikampeni sasa sio akomalie mabadiriko ya mfumo wa uchaguzi pekee, hilo ni eneo moja tu kwenye mengi yenye mapungufu makubwa.
1. Kuna issue ya Uchumi wetu kuwa mikononi mwa wageni. Anasemaje bila kukewa wawekezaji serious.
2. Tatizo la Ajira.
3. Mfumo wa Elimu.
4. Kilimo
5. n.k
LISSU hatua alofikia ni ASOOGOPA CHOCHOTE
Kama haogopi chochote ebu twambie kwanini familia yake ipo Ubeleji na yeye anaishi Bongo kama CHOKORAA!!!
Inabidi machawa wa ccm wawe wanakuja na notebook kwenye mikutano ya Lissu ili knyonya data. 🤣Ugumu wa kudeal na Lissu unatokana na fact kuwa Lissu speech zake anafundisha, yaani anatoa elimu. Ni vigumu sana kupambana na elimu.
Ungelijibu hoja ungelikuwa na akili kulingana na Mimi. Ila kwakuwa umeshindwa basi uwezo wako uko chini yangu! Ahahahahaha!!Ona toto la shule jinga hili! Limetoka zero kabisa. Limeshindwa kuelewa hata hoja!!