CCM msiudharau upinzani mwaka huu, huenda mkapoteza majimbo mengi zaidi

CCM msiudharau upinzani mwaka huu, huenda mkapoteza majimbo mengi zaidi

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
Wasalaam, hii Ni alert kuwakumbusha CCM
MWAKA HUU NI MGUMU SANA KWA CCM KULIKO CHAGUZI ZA MIAKA YA NYUMA

KWAMBA, Kuna tofauti kubwa ya wanachama wa ccm na wananchi wapiga kura, ccm sehemu kubwa inashabikiwa na wanachama wa ccm walioko sehemu mbalimbali, ila wananchi wapiga kura wako zao kimya, ndo utasikia, RaisiMagufuri Hana wa kushindana nae, siyo kweli, ila wanaosema hayo Ni wanachama wa ccm ambao wako takribani mil 2 ( Ni wengi) ila Kati ya mil 48 hawajulikani misimamo yao (take care). Kwanini uchunguzi huu Ni ngumu kwa ccm!?
1. Hawana uhakika na kura za wanafunzi wanachuo
2. Hawana uhakika na kura za graduates
3. Hawana uhakika na kura za wavuvi
4. Hawana uhakika na kura za wajasiliamali, refer kadi za 20000/=
4. Hawana uhakika na kura za wafanyabiashara wengi( usumbufu wa TRA)
5. Hawana uhakika na kura za baadhi ya Kanda ( Kusini, kazikazini, kagera, dar, Mara, mbeya, Iringa, Pwani, Singida, na KIGOMA)
6. Hawana uhakika na kura za walala hoi( ugumu wa maisha na upatikanaji was pesa)
7. Hawana uhakika na kura za Watumishi na
8. Hawana uhakika na kura za masikini maana Bado waliokuwa masikini kipindi hiki wamezidi kuwa masikini
CCM INA UHAKIKA NA KURA ZIFUATAZO;
1,: Wanachama hai wa ccm, million 3
2. Wateule na viongozi wa Serikali
3. Miji Kama Dodoma, Geita, Simiyu, Shinyanga, Lindi, Tanga, Morogoro, na Mwanza( katavi haieleweki)
4. Wasanii
5. Vyombo vya ulinzi na USALAMa
6. Wanawake na wazee
7. Wasiotumia mitandao ya kijamii
8. Walio kwenye vikoba
9. Waumini wa dini na tamaduni

Ukiangalia kwa Jicho la mbali, utaona ccm INA upinzani mkubwa kutoka kwa
1, watumiaji wa social media
2, Diaspora
3, Media
4, Waangalizi wa uchunguzi
5, Makada CCM waliosahaulika
6, Human rights organizations
7. Wakosa fursa za teuzi ndani ya chama na serikali
NB; RUSHWA MWAKA HUU HUENDA IKASAIDIA SANA KUPOZA MACHUNGU YA WAPIGA KURA Mfano,
Watumishi wakiongezwa maslahi yao kwa Sasa
Ajira kwa kipindi hiki
Ziwa Victoria kuachiwa huru
Kuongeza mzunguko wa pesa mtaani
Mikopo kwa kasi zaidi
Vikao na semina za posho
Kidogo itaweza sahaurisha yaliyopita. Kumbuka, hakuna shughuri ndogo
 
Tena ghafla tu wavuvi walizuiwa kuvua katika ziwa Victoria bila kufikia njia mbadala ya kuwaingizia kipato. Leo mnategemea wataichagua CCM.
 
Wamachinga wote ni Magufuli
Wazee Ni Magufuli
Kina mama wajasiliamali ni Magufuli
Sijasikia mgomo wa wanafunzi wakienda kutafuta boom HELSB

KURA ZOTE KWA MAGUFULI NA MAFIGA NI MATATU MZEE
 
Wamachinga wote ni Magufuli
Wazee Ni Magufuli
Kina mama wajasiliamali ni Magufuli
Sijasikia mgomo wa wanafunzi wakienda kutafuta boom HELSB

KURA ZOTE KWA MAGUFULI NA MAFIGA NI MATATU MZEE
Kumbe kasheshe la Abdul Nondo lilianzia wapi vile?
 
Wamachinga wote ni Magufuli
Wazee Ni Magufuli
Kina mama wajasiliamali ni Magufuli
Sijasikia mgomo wa wanafunzi wakienda kutafuta boom HELSB

KURA ZOTE KWA MAGUFULI NA MAFIGA NI MATATU MZEE
Vile vitambulisho vya ujasiliamalia tunatukera sasa..unalipia elfu 20000 wakati mtaji wako ni buku tano.
 
KUNA MPINZANI ALIYEENDA KUJUA SHIDA ZA WANANCHI VIJIJINI??
Wapinzani wanakusanya kodi?
Nyie jidanganyeni lakini kaa mtambue kwamba hakuna mwananchi wa kawaida anayekipenda chama chenu cha mbogamboga.

Jiandaeni kuiba kura, nyambaaaaf.
 
Wengi wa hao unaosdma CCM haina uhakika wa kura zao hawajui hata chanzo cha matatizo yao ni nani.

Wangekuwa wanajua CCM ingekuwa katika wakati mgumu au hata kutolewa madarakani kaala ya uchaguzi haujafika.

Anyway, Maguf hategemei kura. Yeye akishaambiwa na Mabeyo Plus NEC Wewe Ni Rais Inatosha.

Maalim Seif amekuwa ana shind kila uchaguzi Zenj lakini CCM wanapora kwa nguvu, walivyozidiwa kabisa wakakubali serikali ya umoja wa kitaifa kwa shingo upande ilmiradi na wao wawepo madarakani.

So Kwa Mazingira Hayo Usitegemee Huku Hali Itakuwa Tofauti.

CCM itatolewa madarakani na wananchi wenyewe kwa umoja wao pale wakapokosa sahani ya chakula mezani na wakajua mbaya wao ni nani.
 
Usijidanganye we gamba. Meko ana mlima wa kupanda. Wananchi huko vijijini wanaishi kama wakimbizi kutokana na hali ngumu ya maisha.

Mnajigamba kujenga fly over, mara Stiglers Gorge, mara SGR, mara barabara nchi nzima, lakini mmesahau kwamba wananchi hawana furaha kutokana na maisha ya kimaskini ambayo yanasababishwa na serikali ya CCM.

Hali ni mbaya huku mitaani. CCM watarajie kipigo cha paka mwizi.
Wamachinga wote ni Magufuli
Wazee Ni Magufuli
Kina mama wajasiliamali ni Magufuli
Sijasikia mgomo wa wanafunzi wakienda kutafuta boom HELSB

KURA ZOTE KWA MAGUFULI NA MAFIGA NI MATATU MZEE
 
Sijui ulifuatilia shughuli ya uandikishwaji wa daftari la kudumu la wapigishwa kura?!
 
Wamachinga wote ni Magufuli
Wazee Ni Magufuli
Kina mama wajasiliamali ni Magufuli
Sijasikia mgomo wa wanafunzi wakienda kutafuta boom HELSB

KURA ZOTE KWA MAGUFULI NA MAFIGA NI MATATU MZEE
Mawazo ya kijinga toka kwa jingalao
 
Wasalaam, hii Ni alert kuwakumbusha CCM
MWAKA HUU NI MGUMU SANA KWA CCM KULIKO CHAGUZI ZA MIAKA YA NYUMA

KWAMBA, Kuna tofauti kubwa ya wanachama wa ccm na wananchi wapiga kura, ccm sehemu kubwa inashabikiwa na wanachama wa ccm walioko sehemu mbalimbali, ila wananchi wapiga kura wako zao kimya, ndo utasikia, RaisiMagufuri Hana wa kushindana nae, siyo kweli, ila wanaosema hayo Ni wanachama wa ccm ambao wako takribani mil 2 ( Ni wengi) ila Kati ya mil 48 hawajulikani misimamo yao (take care). Kwanini uchunguzi huu Ni ngumu kwa ccm!?
1. Hawana uhakika na kura za wanafunzi wanachuo
2. Hawana uhakika na kura za graduates
3. Hawana uhakika na kura za wavuvi
4. Hawana uhakika na kura za wajasiliamali, refer kadi za 20000/=
4. Hawana uhakika na kura za wafanyabiashara wengi( usumbufu wa TRA)
5. Hawana uhakika na kura za baadhi ya Kanda ( Kusini, kazikazini, kagera, dar, Mara, mbeya, Iringa, Pwani, Singida, na KIGOMA)
6. Hawana uhakika na kura za walala hoi( ugumu wa maisha na upatikanaji was pesa)
7. Hawana uhakika na kura za Watumishi na
8. Hawana uhakika na kura za masikini maana Bado waliokuwa masikini kipindi hiki wamezidi kuwa masikini
CCM INA UHAKIKA NA KURA ZIFUATAZO;
1,: Wanachama hai wa ccm, million 3
2. Wateule na viongozi wa Serikali
3. Miji Kama Dodoma, Geita, Simiyu, Shinyanga, Lindi, Tanga, Morogoro, na Mwanza( katavi haieleweki)
4. Wasanii
5. Vyombo vya ulinzi na USALAMa
6. Wanawake na wazee
7. Wasiotumia mitandao ya kijamii
8. Walio kwenye vikoba
9. Waumini wa dini na tamaduni

Ukiangalia kwa Jicho la mbali, utaona ccm INA upinzani mkubwa kutoka kwa
1, watumiaji wa social media
2, Diaspora
3, Media
4, Waangalizi wa uchunguzi
5, Makada CCM waliosahaulika
6, Human rights organizations
7. Wakosa fursa za teuzi ndani ya chama na serikali
NB; RUSHWA MWAKA HUU HUENDA IKASAIDIA SANA KUPOZA MACHUNGU YA WAPIGA KURA Mfano,
Watumishi wakiongezwa maslahi yao kwa Sasa
Ajira kwa kipindi hiki
Ziwa Victoria kuachiwa huru
Kuongeza mzunguko wa pesa mtaani
Mikopo kwa kasi zaidi
Vikao na semina za posho
Kidogo itaweza sahaurisha yaliyopita. Kumbuka, hakuna shughuri ndogo
Wapinzani wajipange vizuri kuondoa udikteta huu kwa kweli tumechoka.
 
Wapinzani wajipange vizuri kuondoa udikteta huu kwa kweli tumechoka.
Tusipofanya bidii kuwatoa Hawa wakoloni wa kisukuma Hali ni mbaya Sana huko mbeleni wengi watauwawa,watakekwa, bambikiwa kesi,Hali ya uchumi itakuwa mbaya zaidi.
Hawana nia njema kwa taifa letu wamekuja kulibomoa.Shida ya wengi ni vipofu wa propaganda za maendeleo vitu.
 
Back
Top Bottom