Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Lakini tra ni wa muhimu sana,wao ndo wanakusanya hela,Walimu ni zaidi ya 70% ya watumishi wote, wanafuata watu wa afya zaidi ya 20%. Hawa wote waalimu, madaktari, wauguzi, manesi, hawana umuhimu kwa Magufuli na serikali yake ya awamu ya 5 ya wanyonge, TRA na BOT tu ndio wa muhimu. Watampigia kura.
Bot wao ndo wanatunza hela,ni watu muhimu sana hawa,ba polisi pia na wanajeshi