Kwanini asiende Tlaatlaah au ChoiceVariable au chiembe?Ingawa siwapendi Ccm kabisa, kabisa, ila nataka niwaambie, mtu mwelewa, mwenye utulivu kushughulikia hii issue na press ya Gwajima, ni Balozi NCHIMBI pekee!
Sasa nyie mtumieni Lucas!
Ingawa siwapendi Ccm kabisa, kabisa, ila nataka niwaambie, mtu mwelewa, mwenye utulivu kushughulikia hii issue na press ya Gwajima, ni Balozi NCHIMBI pekee!
Sasa nyie mtumieni Lucas!
CCM wanajuana hata hiyo Gwajiboy waliomtuma wanawajua.Ingawa siwapendi Ccm kabisa, kabisa, ila nataka niwaambie, mtu mwelewa, mwenye utulivu kushughulikia hii issue na press ya Gwajima, ni Balozi NCHIMBI pekee!
Sasa nyie mtumieni Lucas!
kumjibu lofa mropokaji anaejistukia kukataliwa na wananchi ni kujifedhehesha tu gentleman.
Ukiambiwa kuwa Nchimbi yuko nyuma ya Gwajima utabisha? Huko sasa hivi kwa moto sana.Ingawa siwapendi Ccm kabisa, kabisa, ila nataka niwaambie, mtu mwelewa, mwenye utulivu kushughulikia hii issue na press ya Gwajima, ni Balozi NCHIMBI pekee!
Sasa nyie mtumieni Lucas!
Lucas ameshajivisha mabomu tayari, eti ndio anaandaliwa script muda huu yeye na Steve Mengele na MwijakuIngawa siwapendi Ccm kabisa, kabisa, ila nataka niwaambie, mtu mwelewa, mwenye utulivu kushughulikia hii issue na press ya Gwajima, ni Balozi NCHIMBI pekee!
Sasa nyie mtumieni Lucas!
Yule ni boya tuUkiambiwa kuwa Nchimbi yuko nyuma ya Gwajima utabisha? Huko sasa hivi kwa moto sana.
Watamtuma Professa MafufuIngawa siwapendi Ccm kabisa, kabisa, ila nataka niwaambie, mtu mwelewa, mwenye utulivu kushughulikia hii issue na press ya Gwajima, ni Balozi NCHIMBI pekee!
Sasa nyie mtumieni Lucas!
Unayakumbuka madudu ya huyo Nchimbi?Waulize CDM.Ingawa siwapendi Ccm kabisa, kabisa, ila nataka niwaambie, mtu mwelewa, mwenye utulivu kushughulikia hii issue na press ya Gwajima, ni Balozi NCHIMBI pekee!
Sasa nyie mtumieni Lucas!
Mzee wa gari ni injini sio bodi. 😀😀Nawaza wakimtumia wasira kujibu, Atatema shit za hatari!
Kabla hajawa balozi yakumbushwe madudu na unyama aliowafanyia Watanzania wa CHADEMA.Kama just hafai, then wafunge chama