Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Kwanza Gwajima kaongea kisiasa ili ajibiwe?Ingawa siwapendi Ccm kabisa, kabisa, ila nataka niwaambie, mtu mwelewa, mwenye utulivu kushughulikia hii issue na press ya Gwajima, ni Balozi NCHIMBI pekee!
Sasa nyie mtumieni Lucas!
Ajibiwe ili iweje na kila kitu kipo wazi?
Watanzania wanatekwa, wanapotezwa na kuuwawa kwa hilo pia ni uongo?
Watanzania wanabakwa na kulawitiwa na kikundi cha watu ndani ya vyombo vya dola hilo pia no uongo?
Sasa unataka wajibu nini? Na wajibu ili iweje?
Kilicho mbele sasa ni hatua sahihi kuchukuliwa tu. Samia apandishwe kizimbani ICC na bao kina Mchengerwa, CP Awadh na SACP Mafwele.