Lord Denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 23,491 Reaction score 57,973 May 25, 2025 #21 uttoh2002 said: Ingawa siwapendi Ccm kabisa, kabisa, ila nataka niwaambie, mtu mwelewa, mwenye utulivu kushughulikia hii issue na press ya Gwajima, ni Balozi NCHIMBI pekee! Sasa nyie mtumieni Lucas! Click to expand... Kwanza Gwajima kaongea kisiasa ili ajibiwe? Ajibiwe ili iweje na kila kitu kipo wazi? Watanzania wanatekwa, wanapotezwa na kuuwawa kwa hilo pia ni uongo? Watanzania wanabakwa na kulawitiwa na kikundi cha watu ndani ya vyombo vya dola hilo pia no uongo? Sasa unataka wajibu nini? Na wajibu ili iweje? Kilicho mbele sasa ni hatua sahihi kuchukuliwa tu. Samia apandishwe kizimbani ICC na bao kina Mchengerwa, CP Awadh na SACP Mafwele.
uttoh2002 said: Ingawa siwapendi Ccm kabisa, kabisa, ila nataka niwaambie, mtu mwelewa, mwenye utulivu kushughulikia hii issue na press ya Gwajima, ni Balozi NCHIMBI pekee! Sasa nyie mtumieni Lucas! Click to expand... Kwanza Gwajima kaongea kisiasa ili ajibiwe? Ajibiwe ili iweje na kila kitu kipo wazi? Watanzania wanatekwa, wanapotezwa na kuuwawa kwa hilo pia ni uongo? Watanzania wanabakwa na kulawitiwa na kikundi cha watu ndani ya vyombo vya dola hilo pia no uongo? Sasa unataka wajibu nini? Na wajibu ili iweje? Kilicho mbele sasa ni hatua sahihi kuchukuliwa tu. Samia apandishwe kizimbani ICC na bao kina Mchengerwa, CP Awadh na SACP Mafwele.