Msingi wa uzi huu ni kuwakumbusha CCM kuwa pamoja na Rais kutokea chama chao cha CCM, but once akishakuwa Rais anakuwa mali ya wananchi mali ya Watanzania wote, chama kinabaki kuwa kama mshauri tu lkn sio kushinikiza.
Kuna mambo mengi yameanza kujitokeza dhahiri yakifanyika kumshinikiza Rais Samia kutekeza ajenda za wachache zionekane za kitaifa kwa malengo binafsi hasa kujipanga kwa uchaguzi ujao.
Siamini kabisa kama uteuzi wa Mwesiga kada wa UVCCM kuwa MD wa TPDC ulifanywa kwa bahati mbaya, lazima kulikuwa na shinikizo kubwa kutoka nje ya mamlaka za uteuzi kwa malengo yao, lkn tushukuru Mungu Rais kaanza kuwaona mapema.
CCM mpeni uhuru Rais wetu afanye kazi pasipo kumuingilia.