Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM chama cha mashetani
Du umeenda mbaali mno. Kote kuna wazuri isipokuwa wanatofautiana katika mambo mbalimbali. Naomba niishie hapa.Karibu tutiririke.
Chadema kina Halima Mdee, Ester Bulaya na wengine kibao.
CCM Mama Makinda, Bi. Hindu etc
Wabunge wa kike wa ccm wanaoleka sio kama wale wabishi waliopitiliza eti wanaharakati(wabishi hadi kwenye mahusiano).
SOKORO,kuoleka ni suala moja kuishi katika ndoa ni suala jingine kabisa.Wanaoleka je wanaziishi hizo ndoa?
Ndiyo wanaziishi mbona, au kama una mfano wa mbunge wa kike wa ccm aliyeachika tupia hapa na sisi tuwajue.SOKORO,kuoleka ni suala moja kuishi katika ndoa ni suala jingine kabisa.Wanaoleka je wanaziishi hizo ndoa?
Hii ni sawa na kusema baba yako ni sawa na mama.
Ninaisoma namba mkuu.Bujibuji umekula njegere za wapi mbona unashuka viwango kiasi hiki!!!