CCM na CHADEMA chama gani kina wanawake wenye mvuto?

CCM na CHADEMA chama gani kina wanawake wenye mvuto?

CCM ndio wanao wengi. Make hadi wengine wanalia mjengoni wanavyolia huko kwenye maniliu!!!

CDM wanasura za kazi kama za TRUMP.
 
Mimi ni mwanachama hai wa CCM ila kusema ukweli CHADEMA wana mademu wazuri sana. Watoto wa kichagga moto sana.
 
5962bf3cbea1587e4f3a1d8123c1c47a.jpg
CCM chama cha mashetani
 
Wabunge wa kike wa ccm wanaoleka sio kama wale wabishi waliopitiliza eti wanaharakati(wabishi hadi kwenye mahusiano).
 
usiende mbali uko kote bungeni unafata nini tuanzie hapa hapa jf sijui Lumumba co ltd watajificha wapi?

kuna mmoja hapa jf ni maarufu sana kwenye kampeni alijitahidi sana kumtangaza lowasa Kwa mabaya. nikasema lazima nimjue Kwa sura anafananaje? ilibidi nimtafute Kwa njia nizijuazo aiiiiiiiiiiii kiufupi matusi yake anafanana nayo . bure kabisa
 
Back
Top Bottom