CCM na CHADEMA chama gani kina wanawake wenye mvuto?

CCM ndio wanao wengi. Make hadi wengine wanalia mjengoni wanavyolia huko kwenye maniliu!!!

CDM wanasura za kazi kama za TRUMP.
 
Mimi ni mwanachama hai wa CCM ila kusema ukweli CHADEMA wana mademu wazuri sana. Watoto wa kichagga moto sana.
 
Wabunge wa kike wa ccm wanaoleka sio kama wale wabishi waliopitiliza eti wanaharakati(wabishi hadi kwenye mahusiano).
 
SOKORO,kuoleka ni suala moja kuishi katika ndoa ni suala jingine kabisa.Wanaoleka je wanaziishi hizo ndoa?
Ndiyo wanaziishi mbona, au kama una mfano wa mbunge wa kike wa ccm aliyeachika tupia hapa na sisi tuwajue.
 
usiende mbali uko kote bungeni unafata nini tuanzie hapa hapa jf sijui Lumumba co ltd watajificha wapi?

kuna mmoja hapa jf ni maarufu sana kwenye kampeni alijitahidi sana kumtangaza lowasa Kwa mabaya. nikasema lazima nimjue Kwa sura anafananaje? ilibidi nimtafute Kwa njia nizijuazo aiiiiiiiiiiii kiufupi matusi yake anafanana nayo . bure kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…