CCM na Chawa, CHADEMA na Makamanda - Nani yuko sahihi?

Kamanda wa konyo, Mbowe kwenye maandamano ya Akwilina alipoona makamanda wa polisi alitoka mbio kwa spidi ya sauti, Sasa kwa nini awakimbie makamanda wenzake? Angeomba lichorwe box chini, aingie ndani wazichape.

Kigaila eti naye kamanda, na ule urefu , mifuko ya mashati yake imejaa sigara tu
 
Samahani Naomba kuuliza; ulikueopo Kwenye viwanja vya maandamano na ukashuhudia pasina shaka kwamba FAM alikimbia KWA speed ya Sauti?
Unaweza kutuambia ni nani aliyejenga msingi wa yale maandamano mpaka wanachadema wakaandamana?

Ambacho kingefurahisha ni kipi kwamba Askari wauewe raia wengi zaidi katika eneo la tukio ndio ingekua kina mbowe ndio wamechagiza maandamano na sio kwamba Kuna mtu alijenga mazingira maandamano yatokee Ili ipatikane sababu ya kuwavictimize chadema?

Dada yetu (Akwilina) aliuwawa kikatil na kamanda bila aibu akasema risasi ilipigwa hewani means wanachadema waliingia Kwenye daladala wakamuua dada yetu! Na kupitia wizara ya Elimu serikali ikagharimia mazishi na kuahidi kumsomesha mdogo wake akwlina!
Kuna mtu anakalia kile kiti KWA damu ya akwlina kwako ni raha!
Btw
Mada husika haijajikita KWA kile ambacho umepresent (chawa vs kamanda)

Hapa Kwenye platform utadhani unapata umaarufu na kujifurahisha KWA damu za watu na kejeli Ila karma will haunt you KWA kuwashabikia wauwaji na chawa wanyonyaji kama sio kwako hata KWA kizazi chako!
 
Chawa ni kielelezo cha uchafu. Hao Vijana wanawaza kunyonya wenzao na kujipendekeza tu badala ya kufanya kazi za uzalishaji.
CCM inazalosha kundi la vijana wa hovyo sana wasiofanya kazi yaani machawa
 
Samahani Naomba kuuliza; ulikueopo Kwenye viwanja vya maandamano na ukashuhudia pasina shaka kwamba FAM alikimbia KWA speed ya Sauti?
Unaweza kutuambia ni nani aliyejenga msingi wa yale maandamano mpaka wanachadema wakaandamana?

Ambacho kingefurahisha ni kipi kwamba Askari wauewe raia wengi zaidi katika eneo la tukio ndio ingekua kina mbowe ndio wamechagiza maandamano na sio kwamba Kuna mtu alijenga mazingira maandamano yatokee Ili ipatikane sababu ya kuwavictimize chadema?

Dada yetu (Akwilina) aliuwawa kikatil na kamanda bila aibu akasema risasi ilipigwa hewani means wanachadema waliingia Kwenye daladala wakamuua dada yetu! Na kupitia wizara ya Elimu serikali ikagharimia mazishi na kuahidi kumsomesha mdogo wake akwlina!
Kuna mtu anakalia kile kiti KWA damu ya akwlina kwako ni raha!
Btw
Mada husika haijajikita KWA kile ambacho umepresent (chawa vs kamanda)

Hapa Kwenye platform utadhani unapata umaarufu na kujifurahisha KWA damu za watu na kejeli Ila karma will haunt you KWA kuwashabikia wauwaji na chawa wanyonyaji kama sio kwako hata KWA kizazi chako!
Unamjua aliyemuua Chacha Wangwe? Ndio huyo unayemtetea
 
Chawa wa mama ni wafuasi na mashabiki wa mama.

Hili jina chawa siyo sawa kwenye jamii, kwa kuwa chawa huambatana na watu wachafu. Pia chawa ni wadudu wasiotakiwa kuambatana na binadamu anayejielewa.

Tunawafundisha watoto na jamii kwa ujumla kuepuka uchafu ili wasisumbuliwe na chawa.

Tunaichanganya jamii.
Bahati mbaya zaidi ni kuwa wakubwa wameshalibariki hadharani.
 
WanaJF Salaam!

Nimeona leo kwenye mitandao ya kijamii issue ya uzinduzi wa Chawa wa Mama kwa upande wa CCM yangu;

Lakini upande wa CDM mara kadhaa majina ya kimkakati ya uendeshaji siasa nchini yanaitwa Makamanda, Operesheni Sangara nk.

Nachojiuliza ni kwa nini ndg zangu hawa wakubali kujiita Chawa wa Mama? Fasiri nyepesi ni ipi?

Mpaka sasa sijaamua kuwa kundi la chawa mpaka hapo nitakapopata uelewa juu ya dhana hii.

Msakila Kabende
Kakonko
CCM ni CHAWA na CHADEMA ni KUPE- huu ndio mlinganisho mzuri wenye mantiki
 
Hata marehemu Muhidin Guromo/Ngurumo wa msondo naye walimuita "kamanda", hii nakutoa hofu isikustue sana.

CCM imeweka misingi na mizizi mikubwa sana kwenye nchi hii.

Misingi ya na mizizi ya CCM ni vyombo vya dola tu, nje ya hapo CCM ni bora hata TLP.
 
Mimi kuna viumbe wanne nikionaga lazima nimuuue by any means..
1. Panya
2. Mende
3. Kunguni
4. Chawa
Yaani nikiwaona hawa viumbe lazima, narudia lazima nimtoe roho
 
Duuuu!!
JamiiForums-1016409659.jpg
 
WanaJF Salaam!

Nimeona leo kwenye mitandao ya kijamii issue ya uzinduzi wa Chawa wa Mama kwa upande wa CCM yangu;

Lakini upande wa CDM mara kadhaa majina ya kimkakati ya uendeshaji siasa nchini yanaitwa Makamanda, Operesheni Sangara nk.

Nachojiuliza ni kwa nini ndg zangu hawa wakubali kujiita Chawa wa Mama? Fasiri nyepesi ni ipi?

Mpaka sasa sijaamua kuwa kundi la chawa mpaka hapo nitakapopata uelewa juu ya dhana hii.

Msakila Kabende
Kakonko
Kwa kawaida chawa huishi na kuneemeka na damu kwenye nguo na miili michafu kwa hiyo kujiita chawa wa mtu fulani wazi wazi ni dhahiri nguo au mwili uliotajwa wanaishi kwake unatia shaka
 
Back
Top Bottom