Uchaguzi 2020 CCM na dola msifanye makosa Uchaguzi Mkuu 2020, demokrasia ichukuwe mkondo wake Watanzania wafanye maamuzi

Usisahau kazi kubwa aliyofanya ya kupaisha Deni la taifa kwa Kipindi Kifupi tu cha miaka mitano.Mbeleko ya ccm kushindwa uchaguzi hii hapa
IMG_20200601_173955.jpg
 
Wanapewa shinikizo kubwa sana, sina hakika wanafurahia hata maisha nafsi zao zinawasuta sana, mfano yule mkurugenzi Kibamia.
Haahaa cha msingi wao mshiko uingie.kwa sasa makada wamepenyezwa kote, sio mahakama, polis, bungeni wala kwenye tume.upinzani wasahau
 
Kwanza upinzani wa kupambana na CCM haupo.Kuhusu miradi ya maendeleo itaisha haijalishi kwa wakati ama nje ya wakati.

Kuhusu maisha kuwa magumu hakuna utawala uliingia madarakani kisha wananchi wakasema wazi maisha ni mepesi.
Yote kwa yote jitahidi upambanie maisha yako kwa kadri utakavyoweza,kwani tulipotoka tunapajua ila twendapo hatupajui.
Kama upinzani wa kushindana na CCM haupo bunduki na mabomu ya nini? CCM bila mabavu na mbeleko ya vyombo vya dola ni wepesi saaaana yaani ushindi saa nne asubuhi tu.
 
Mkuu mimi nasema hivi kwa CDM ya sasa,awe mgombea yeyote wa CDM alafu ashindane na kuku yani CDM VS KUKU.
Kwa jinsi watanzania walivyoichukia CDM kwa tabia yake ya kupinga kilakitu KUKU atapata kula za kishindo cha Corona.
 
Wewe umekaririshwa tu, sisi ambao tuko field ndiyo tunajua nguvu ya chama chetu kwani kazi tuliyoifanya kimya kimya kwa miaka hii minne imewatisha hata wazito ndiyo maana fujo zoooote hizi za matumizi ya mabavu ya dola, kununua wapinzani uchwara, kuvuruga mchakato wa uchaguzi mkuu ujao kwa kuwanyima mawakala wa vyama form za matokeo toka kwenye vituo vya kupigia kura. Wewe bisha kwa vile ndiyo kazi inayokuwezesha kuishi, lakini kama uwanja ukiwa sawa kabisa wa uchaguzi CCM mnalamba sakafu mapema tu.
 
Mkuu mimi nasema hivi kwa CDM ya sasa,awe mgombea yeyote wa CDM alafu ashindane na kuku yani CDM VS KUKU.
Kwa jinsi watanzania walivyoichukia CDM kwa tabia yake ya kupinga kilakitu KUKU atapata kula za kishindo cha Corona.
Unajua chaguzi serikali mitaa 2019; 99%, unadhani nini kilipelekea maamuzi yale? Waulize watendaji mitaa ,vijiji na viongozi wa dolla waliagizwa nini baada ya utafiti kuonyesha upepo mbaya ccm!?
 
Mkuu huyo ni ngumbaru hata umueleweshe vipi hawezi kuelewa lakini wenye chama chao wanajua mziki wa Chadema siyo wa kitoto.
 
Unajua chaguzi serikali mitaa 2019; 99%, unadhani nini kilipelekea maamuzi yale? Waulize watendaji mitaa ,vijiji na viongozi wa dolla waliagizwa nini baada ya utafiti kuonyesha upepo mbaya ccm!?
Kama upepo mbaya kwa CCM kwa nini mliweka mpira kwapani ?
 
Dola lazima itumiwe vizuri tu. Polisi lazima walinde usalama wa raia na mali zao,Pccb lazima wadhibiti rushwa, Jwtz lazima walinde mipaka ya nchi yetu. Na uchaguzi utafanyika kwa amani. Dola haitumiwi kumlazimisha mtu aichague Ccm
Bali watu wamelidhika na uchapa kazi wa JPM.
Umeishia la ngapi?
 
Back
Top Bottom