Uchaguzi 2020 CCM na dola msifanye makosa Uchaguzi Mkuu 2020, demokrasia ichukuwe mkondo wake Watanzania wafanye maamuzi

Dunia haijasahau ya Zanzibar 2015; Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019; Kosa la tatu ni kadi nyekundu.

Watanzania wengi wetu tuna maisha magumu sana baada ya pesa makusanyo kwenda miradi ya maendeleo na kupungua misaada na mikopo kwa mahusiano mabaya wadau maendeleo.

SGR, Umeme rufiji, Madaraja Busisi, Coco beach, Bomba la mafuta ni miradi bado ipo hatua za awali tusitaraji kuona matunda 2020, ukamilifu wake Baada ya 2021.

Zahanati, Vituo vya afya, hospitali wilaya na mikoa miradi mingi ipo hatua za awali na majengo yaliyo tayari mengi hayana vifaa na watumishi.

REA napongeza usimamizi awamu hii matumizi ya 3% ya matumizi ya umeme Watanzania wanaotumia huduma umeme, maji.

Kiwanja Mungu ametujalia bure Tanzania yetu, kujenga msingi pekee kwa miradi hiyo isiwe nogwa na kufuru kujisifu tumemaliza.Waliowahi kujenga nyumba wanajua garama ya kumalizia ilivyo mziki.

Hoja yangu hapa ni kweli JPM ana uthubutu na upeo na dhamira njema kwa taifa letu. Kama taifa tuna katiba yetu. Serikali ya ccm isibweteke na dhamana kutaka kutumia Dola vibaya kwa sifa zisizo za msingi.

Awamu zote katika taifa hili viongozi japo chini ya ccm wamejitahidi wawezavyo. Nafatilia TBC ni dhambi kubwa tunavyomtukuza JPM, mwenye utukufu ni Mungu Baba pekee.

Spika wa Bunge katika kikao rasmi Bunge anadiriki kusema wazi wabunge upinzani kutorudi Bunge lijalo

CCM na Dola tuheshimu katiba ya taifa letu, tuwaheshimu Watanzania, tuwaache wafanye maamuzi huru. Kinyume chake JPM na Watanzania tutakuwa na wakati mgumu zaidi 2021 kwa vikwazo na kukosa zaidi ushirikiano wa jumuia za kimataifa.

Mfano mdogo hatuna mwekezaji mkubwa serious amewekeza awamu hii ya 5 kama Dangote. Viwanda 4000 tuendelee kufarijiana tu serikali ya viwanda.

Ukamilifu wa miradi ya mkakati SGR, Umeme Rufiji, miradi maji, Afya nk itakuwa shakani ukamilifu kwa wakati.Ng'ombe tunaemkamua bila malisho stahiki tunaendelea kukamua damu matokeo ni kifo.
Ccm kuruhusu demokrasia kwenye uchaguzi ni sawa na kulala kitandani bila net huku ukiogopa marelia
 
CCM Siku zote inashinda kidemokrasia. Hayo mengine ni mawazo na yanakubalika kwa Tanzania ya kidemokrasia.
 
Back
Top Bottom