Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Ni Mbatia na Magufuli.....!!!🤣🤣Wametwangana mbatia na Polepole?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Mbatia na Magufuli.....!!!🤣🤣Wametwangana mbatia na Polepole?
Inafahamika kwamba CCM ndo chama chenye vurugu mara wapigane na wafuasi wa CHADEMA mara ACT mara NCCR sababu hawakutaki kushindwa ila mwaka huu lazimawataelewa nguvu ya umma nininiWafuasi wa CCM na NCCR Mageuzi wamerushiana makonde wilayani Bariadi na kusababisha kijana mmoja kuumizwa kichwani na kupoteza fahamu.....
Wachapane tu ebu tusikie tume wanasemaje
Wachapane tu ebu tusikie tume wanasemaje
Mbona kama upo kwa Mtingole
Weshatoka huko na sasa wamekuwa vyama washirikinaKulikoni vyama washirika??!
Ugomvi wa mume na mke ndani ya familia.Wafuasi wa CCM na NCCR Mageuzi wamerushiana makonde wilayani Bariadi na kusababisha kijana mmoja kuumizwa kichwani na kupoteza fahamu.
Wafuasi wa NCCR Mageuzi ambao walipokea kichapo cha haja wamesema CCM ndio waliowapiga lakini Katibu wa CCM Bariadi amesema wafuasi hao wa Nccr mageuzi ndio walivamia eneo la mkutano wa CCM na kilichofuatia kikawa Mwana kulitafuta mwana kulipata.
Source Eatv habari
Maendeleo hayana vyama!