Uchaguzi 2020 CCM na NCCR Mageuzi watwangana makonde Bariadi kila chama kikituhumu kingine kuwa chanzo cha vurugu

Uchaguzi 2020 CCM na NCCR Mageuzi watwangana makonde Bariadi kila chama kikituhumu kingine kuwa chanzo cha vurugu

Wafuasi wa CCM na NCCR Mageuzi wamerushiana makonde wilayani Bariadi na kusababisha kijana mmoja kuumizwa kichwani na kupoteza fahamu.....
Inafahamika kwamba CCM ndo chama chenye vurugu mara wapigane na wafuasi wa CHADEMA mara ACT mara NCCR sababu hawakutaki kushindwa ila mwaka huu lazimawataelewa nguvu ya umma ninini
 
Wafuasi wa CCM na NCCR Mageuzi wamerushiana makonde wilayani Bariadi na kusababisha kijana mmoja kuumizwa kichwani na kupoteza fahamu.

Wafuasi wa NCCR Mageuzi ambao walipokea kichapo cha haja wamesema CCM ndio waliowapiga lakini Katibu wa CCM Bariadi amesema wafuasi hao wa Nccr mageuzi ndio walivamia eneo la mkutano wa CCM na kilichofuatia kikawa Mwana kulitafuta mwana kulipata.

Source Eatv habari

Maendeleo hayana vyama!
Ugomvi wa mume na mke ndani ya familia.
 
Hao ni mtu na mkewe tuwaachie ugomvi wao usiku wakiwa kitandani watayamaliza
 
Back
Top Bottom