Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nijuavyo mimi RPF kimepindua kuingia madarakani, CCM ilishiriki vipi kwenye mapinduzi ya Kagame hadi CCM kuvialika RPF na CNDD-FDD?
Chama cha mambuzi bhana!!!!
Karume mkuuKweni CCM ilimpindua nani?
Manyani hucheza pamoja uchakachuzi wa chaguzi za 2019 na 2022 Referee ni hivyo vyama.Kuna wimbo utotoni tulikuwa tunaimba wa "RPF ni ngome yangu, nimuogope nani". Huenda kweli ni vyama rafiki na ni urafiki wa muda mrefu
Upande wa Zanzibar huko mwarabu alipinduliwa mwaka 1964. Ile serikali ya Zanzibar inaitwa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Labda watu waipindue ccm iingie serikali mpya ya jamhuri ya muungano wa mapinduzi ya Tanzania 😂😂. Nahisi hiyo ndio mbinu pekee ya kuitoa ccm madarakani, ni kuipindua tu. Unadhani waliojaribu kumpindua nyerere toka enzi hizo mpaka enzi za zakaria hanspope ni wajinga?Kweni CCM ilimpindua nani?
tulipaswa kuyalaani milele mauaji yale ya marais wawili yaliyofanywa na wahuni; ccm kukitambua RPF ni kuyabariki yale mauaji piaKuna wimbo utotoni tulikuwa tunaimba wa "RPF ni ngome yangu, nimuogope nani". Huenda kweli ni vyama rafiki na ni urafiki wa muda mrefu
Kilichosababisha mapinduzi y zanzibar ni nini?Upande wa Zanzibar huko mwarabu alipinduliwa mwaka 1964. Ile serikali ya Zanzibar inaitwa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Labda watu waipindue ccm iingie serikali mpya ya jamhuri ya muungano wa mapinduzi ya Tanzania 😂😂. Nahisi hiyo ndio mbinu pekee ya kuitoa ccm madarakani, ni kuipindua tu. Unadhani waliojaribu kumpindua nyerere toka enzi hizo mpaka enzi za zakaria hanspope ni wajinga?
Kwaajili ya ujirani na usalama tungeishia TU kwenye ushirikiano kati ya serikali zetu TU baasi, sio kwa vyama ambavyo havina historia zinazofanana. Mfano, CCM, zanu-pf, frelimo, APLA, Uganda Democratic movement, polisalio, KANU, na ANC vina historia na uhusiano unaosababisha vialikane kwenye matukio kuliko RPF.Rafiki yako wa kwanza ni jirani yako. Ujirani wa Rwanda na Burundi umepelekea CNDD-FDD na RPF kuendeleza urafiki na CCM kwa kuwa vyote ni vyama tawala.
Hii ikiwa na maana ya kwamba Sera za Serikali ya Rwanda Zinaandaliwa na RPF na vivyo hivyo kwa Tanzania na CCM na hapo kutakuwa na urafiki baina ya vyama hivyo.
Rwanda kuwa mwanachama wa EAC anakuwa na urafiki na kila kinachohusiana na EAC na mojawapo ni CCM