PreGE2025 CCM na Serikali majibu yenu yako wapi kwenye orodha ya Watanzania waliotekwa iliyotolewa na TLS?

PreGE2025 CCM na Serikali majibu yenu yako wapi kwenye orodha ya Watanzania waliotekwa iliyotolewa na TLS?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Blessed Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
284
Reaction score
870
Serikali na CCM mmepaparuka huko na kusema taarifa ya Gwajima ina walakini, inalenga kuleta chuki kwa serikali, kwamba inabidi serikali iseme upande wake.

Orodha ya Gwajima ndio hiyo orodha ya TLS iliyokuwa na watu 80 waliotekwa/kupotea toka mwaka 2016 mpaka Agosti 2024, kama angechukua na watu waliotekwa mwaka huu hadi kufikia May wangekuwa karibia 100.

Pia soma:

Majibu yenu yako wapi toka TLS watoe list yao? Mnakalia kuzuia vyombo vya habari kwasababu mnajua mna pa kuwabana ila kwa TLS mmesanda, maana mnajua watakaa kooni mpaka kieleweke, taarifa ibaki public sababu ni ya maslahi kwa umma.

Wananchi tunataka majibu juu ya orodha hiyi ya TLS maana Gwajima mmemuona nyani. Tunataka majibu.

Tunajua mnapita humu kwahiyo msg imeshakauwa delivered.
 
Watekaji, Wabakaji na Wauaji ndo watoe majibu?

Hawa dawa yao kutoa hayo majibu huko ICC tu
 
Nakumbuka mtihani wa Taifa kumaliza kidato cha sita kuna mtihani tulipewa maswali 16 na unapaswa uchague maswali manne (4) tu ndio uyajibu. Nilipopewa karatasi ya maswali nilisoma kuanzia swali la kwanza hadi la kumi na sita, lkn maswali yote yalikua hayajabiki
What I did later was to use only general knwledge.
Sasa kuna maswali mengine hata kwa general knowledge hayajibiki
Ndio swali lako kwa waulizwa swali, Usitarajie majibu. Majibu yanayoletwa ya mwaka 1947 eti gwaj boy analaana ya pengo, kazi ipo
 
🤣🤣🤣🤣 lakini wanazuia watu wasipate habari kuhusu utekaji?
 
Kuna damu za watu haziendagi hivi hivi. Huu muamko wa watu safari hii kuna mtu kaguswa ambaye aliaga kwao
 
Back
Top Bottom