situjadiriane
Member
- Jan 5, 2023
- 41
- 49
Ni Msimu Wa siasa ndivyo tunavyoweza kusema, tangu mikutano ya hadhara ipigwe marufuku ni muda mrefu Sana.
Lakini sasa busara imetumika kuruhusu siasa za majukwaani kuanza.
Nasukumwa na uzalendo kuwaomba Wanasiasa Wa upinzani na chama tawala kuendesha siasa zenye tija na weledi ili Tanzania ibakie kisiwa cha amani, huu siyo wakati wakufukua makaburi bali ni wakati Wa kutoa mwelekeo na kukosoa makosa ambayo yakilekebishwa Tanzania itasonga mbele.
Naomba ieleweke kuwa Tanzania ndio nyumba yetu hatuna pengine pakukimbilia.