mbona tayari nimejuta , usipotoa machozi kwa picha hizi , hakika wewe utakuwa si binadamu .
bado una ndoto ya kuwa mbunge Wa chadema kwa kumtukana mzazi wako ccm, laana ya kusaliti ccm haitakuacha kamwe unashabikia Uzi Wa kijinga kama huu
Unajua maana ya matusi? Na unadhani Chadema ndio sahani ya ugali kwa kila mmoja au kwa vile sahani yako iko CCM unaona wote tunafanana?
Acha siasa za kichama na kikabila. Kuwa Mtanzania, na zungumzia Utanzania!
una matatizo kijana wapi nimetaja ukabila wewe pimbi, unaniletea mambo yako ya kukwama kimaisha, mbwaa mini.ccm ndio tunu ya watanzania kwa miaka yote hawawezi kumuacha kamwe
Hawa watumiaji wa "cannabis sativa" wanatafuta umaarufu kwa lazima kisingekuwepo CHAma cha DEgedege na MAlaria, bwana Mwangosi angekuwa hai.
Sikatai kuhusu mabaya je hakuna mazuri? Macho yako hayaoni mema yaliyofanyika?
eee bhana duh ! Hapa siyo Iramba jamani ?
tehe tehe kwi kwi nimecheka sana
tehe tehe kwi kwi nimecheka sana
Kinacho kuchekesha ni kipi hasa?
una matatizo kijana wapi nimetaja ukabila wewe pimbi, unaniletea mambo yako ya kukwama kimaisha, mbwaa mini.ccm ndio tunu ya watanzania kwa miaka yote hawawezi kumuacha kamwe
Mwageni picha kamanda! !!!!!
Hii ni ambulance ambayo wananchi wameamua kujitengenezea baada ya CCM kuwatelekeza lakini utakuta baadhi ya watu, tena wenye akili timamu, kama Agogwe wanajitoa akili zao na kuzikabidhi kwa bosi wao Nape Nnauye halafu wanakuja hapa kutoa mapovu wakati umasikini huu umeletwa na uzembe wa CCM. Hivi zile bilioni 33 alizochukua mwenyekiti wako kutoka kwa wezi wa EPA ziko wapi au ndizo mnazolipwa posho huko Lumumba ndugu yangu Agogwe? Na zile fedha za umma mlizoficha huko USWISI mmezificha kwa manufaa ya nani badala ya kuzileta zitatue changamaoto kamz hizi zinazowakabili raia? Shame on you all gambaz!
View attachment 183299