CCM nambari wani

CCM nambari wani

Watanzania lazima tuamke tuwaadhibu mafisadi kwenye sanduku la kura tu,basi
 
Sina roho ngumu, maisha ni jinsi unavyotaka yawe wewe mwenyewe,


Maji kwa sasa hakuna shida tena,
Hapa mjini maji yapo, na huko shamba nako yapo japo nasikia
wanakijiji hawataki maji ya genereta wanataka ya umeme,
kwa hali hiyo na umeme uko jirani kuja huko kijijini.

una roho ngumu sana ! Yale malalamiko yako kuhusu maji kijijini kwenu yametatuliwa ?
 
@Erythrocyte, tpaul na wakuu wengine wote 'KIDUMU CHAMA CHA MAPUNDUZI' nimepita tu kuwasalimia


 
Last edited by a moderator:
kp02092014.jpg
 
Back
Top Bottom