CCM nambari wani

hizi kelele zenu mwisho 2015 sisi wananchi ndio tutaichagua CCM chama kilichoijenga nchi hii
 
CCM ni No 1, Kuanzia Historia iliyotukuka,Siasa Safi,KATIBA Bora, Muundo Imara Ambao Hata Vyama vya Upinzani Hususan CHAGA DEMA Wameuiga!,SERA IMARA na Zinazotekelezeka na Sio za KUFURAHISHA WATU MASKIONI NA MAJUKWAANI ili Kushangiliwa.
Watajidanganya Saana , Watajipa Matumaini Ya Uongo Mitandaoni Lakin itapokuja UHALISIA Watagongwa Wasijue Wamepigwa TOKA Upande Upi.
Stori itabaki Ile Ile;
CHOPA 3 KATA 3 Kati ya 25.
Watabaki na NGOJERA ZAO;
USALAMA WA TAIFA WAMECHAKACHUA.
Ah ah CCM GARI KUBWA SIO Chama Chenye Ajenda za MATUKIO.
 
hivi ni kwanini ukiikosoa chadema unaambulia matusi na si hoja?
 

vijana wako wanasoma kuongeza maarifa. Waliofanya utafit kuwa watanzania wana IQ ndogo itakuwa waliwafanyia utafiti hawa ndugu zetu wa chadema. kila nnaposoma comment zao nahis watakuwa na vichwa vidogo kama ndimu. Tafadhali andiken comment zenu ktk karatas kwanza mzitafakar ndio mzilete hapa maana mnatia aibu
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli sisiemu ni nambari wani kwa ufisadi, wizi na uchakachuaji wa kura, laana na udhalimu
 
Ni kweli sisiemu ni nambari wani kwa ufisadi, wizi na uchakachuaji wa kura, laana na udhalimu

ukiona nchi wazungu pamoja na uvumilivu wao wa kutupwa wameikatia misaada iogope kama ukoma .
 
Nalitamanije hilo "hindi" na huo "wali"! Yaani ni adimu saaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…